Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Tudogo hivi wanashibaga kweliahahaa halafu ni kweli zile nyama anawekaga si unazijua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tudogo hivi wanashibaga kweliahahaa halafu ni kweli zile nyama anawekaga si unazijua?
mimi hata najua mambo ya wazungu shogangu ? labda utumbo wao mdogo kama wa mtoto naskia huwa wanaupunguza ili wasinenepe.si ulisikia hata kina nacky wamejilipua ? utakuwa unakunywa maziwa nusu kikombe ,viuji ,kama mtoto mchanga vile.Tudogo hivi wanashibaga kweli
[emoji28][emoji28][emoji28]me na uroho wangu kitaishia kwenye meno jamaan wakina nacky wamekua wembamba yote kutaka urembomimi hata najua mambo ya wazungu shogangu ? labda utumbo wao mdogo kama wa mtoto naskia huwa wanaupunguza ili wasinenepe.si ulisikia hata kina nacky wamejilipua ? utakuwa unakunywa maziwa nusu kikombe ,viuji ,kama mtoto mchanga vile.
sisi wenye mautumbo yetu mtu akupeleke out akununulie kale kanyama kabichi si utakuja kumwanzishia uzi umu mwaka mzima?
yule Dada sio mbaya Ila mazoezi yanamkomaza sana,kama john cena!Utani mbaya lakini Mungu nisamehe, Zimbabwe anasura mbovu jamani.
Yeah,nazijua.ahahaa halafu ni kweli zile nyama anawekaga si unazijua?
[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi ninavyopenda nyama kuninunulia kile kimshikaki ni kunitukana tu.mimi hata najua mambo ya wazungu shogangu ? labda utumbo wao mdogo kama wa mtoto naskia huwa wanaupunguza ili wasinenepe.si ulisikia hata kina nacky wamejilipua ? utakuwa unakunywa maziwa nusu kikombe ,viuji ,kama mtoto mchanga vile.
sisi wenye mautumbo yetu mtu akupeleke out akununulie kale kanyama kabichi si utakuja kumwanzishia uzi umu mwaka mzima?
bora alivokuwa bonge jamani[emoji28][emoji28][emoji28]me na uroho wangu kitaishia kwenye meno jamaan wakina nacky wamekua wembamba yote kutaka urembo
ahahaaa yaani ni uchochezi !!!!!![emoji23][emoji23][emoji23] Mimi ninavyopenda nyama kuninunulia kile kimshikaki ni kunitukana tu.
shoga angu kimeo hiki hata kuskrini shot sijui nenda kwa malikia wa kuchamba ndo ipo!Lisa Jensen?
Tuleteeni screenshot basi jamani?
Watu wameamua kuolewa aiseee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]shunie do the needful pls!
Tunasubiri screenshots [emoji4][emoji39]
shunie do the needful pls!
Tunasubiri screenshots [emoji4][emoji39]
Sura ya mtoto wa kike wa Mange aitwae Bhoke umeiona lakin au H ujui sura mbovu? [emoji12]Utani mbaya lakini Mungu nisamehe, Zimbabwe anasura mbovu jamani.
ahahaa hujawai mcheki vizuri hata mimi nilikuwa namuonaga mbayaNa kukomaa je anafanya mazoezi ya kunyanyua mavyuma
ahahaa hata bhoke mzuri sema vile tu mama yake watu hawampendi ila watoto wa mange wazuriSura ya mtoto wa kike wa Mange aitwae Bhoke umeiona lakin au H ujui sura mbovu? [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani bhoke Mungu anisamehe tu.Sura ya mtoto wa kike wa Mange aitwae Bhoke umeiona lakin au H ujui sura mbovu? [emoji12]