Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Hello ladies & gents...
Wambea wenzangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nifah was busy like hell [emoji22][emoji22]
Lakini kwa sasa am baaaack...
Miss ya'll [emoji7][emoji7][emoji7]
Ngoja nianze kupitia ubuyu maana mmetiririkaje?
[emoji6][emoji6]
Miss u too Nifah
 
Halafu makonda mbona hajawahi kumjibu mange kama anavyowajibu chadema? ningekuwa na hela ya kulipa faini hii habari ningeianzishia Uzi wa kujitegemea.....
Anzisha mkuu wangap wanaanzisha thread zake umu
 
tutegemee kumuona mange kimambi hapa bongotz baada ya timuatimua ya mwendokasi ya Donald Trump,othaws so leo
 
Hello ladies & gents...
Wambea wenzangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nifah was busy like hell [emoji22][emoji22]
Lakini kwa sasa am baaaack...
Miss ya'll [emoji7][emoji7][emoji7]
Ngoja nianze kupitia ubuyu maana mmetiririkaje?
[emoji6][emoji6]
Waoooow nilisononeka kwakweli...you're [emoji106] welcome to join us dear
 
Halafu makonda mbona hajawahi kumjibu mange kama anavyowajibu chadema? ningekuwa na hela ya kulipa faini hii habari ningeianzishia Uzi wa kujitegemea.....
Mkuu niko chini ya miguu yako...hebu anzisha thread yake tutoe hii tungo tata mweeeh!
 
nimeanza kumsoma mange siku nyingi, tangu enzi za blog lakini kichambo cha leo kwa muheshimiwa kimevunja recodi ya vichambo vyote vilivyopita.....khaaah!!!
 
Back
Top Bottom