Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Simpendi makonda tangu alivyomtukana lowasa na hata sasa tabia yake ya kufanya kazi kwa kukurupuka, lakini kwa hili daaa, nimemuhurumia.
Sure..mi ananiudhi anafanya harambee fulani hatimizi eg. Kuondoa ombaomba, makahaba na etc...then anakurupukia ishu nyingine,....ila sasa mange anafika mbali coz kila mtu ana personal zake, na ni lazima ziheshimiwe!
 
wanashindwa kumkamata?
 
Kiukwel safari mange anaonekana kichambo kimempagawisha sana !! Leetuz nation ana hit palepale
 
Kiukwel safari mange anaonekana kichambo kimempagawisha sana !! Leetuz nation ana hit palepale
Seriuos ameguswa mkuu, maneno ya le mbebez nayo makali, ila hapa sasa anayelipia hayo machungu ni madereva[emoji3]
 
ila naona poa coz ugonjwa wameulea wenyewe mwaka jana mange alikuwa anamtusi lowasa matusi ya nguoni walikuwa wakishangilia....wacha tu watibiwe maradhi ya moyo
Umeongea jambo la msingi sana.
Wakati Mange huyuhuyu akimtukana Lowassa walikuwa wakifurahia (Wanaotukanwa sasa akiwemo hadi mkulu)
Hii ndio ile wanasemaga
"Back fired"
[emoji23][emoji23][emoji23]
Jana nilimuonea huruma lakini leo nasema na ATUKANWE TU![emoji135][emoji135]
 
Back
Top Bottom