Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

1473509565052.png
1473509571508.png
1473509580308.png
hy ni juzi, kp alimjibu Mange baada ya Mange kuweka post kuwa uandishi wa kp umebadilika baada ya kudakwa, so obvious atakuwa amebadili ip adress kuwaconfuss polisi wa huko Finland kwa kumpa mtu mwingine
 
Ni kweli usemalo nilimfata dm insta akanambia yuko busy kazini akipata nafasi ndo hupost au Mange akipost ujinga basi huja kwa dharura
KP ni sweetheart.
Hata mimi nimewahi chat nae sana DM,always huwa namuambia vile nampenda.
Nampenda kweli KP [emoji7][emoji7][emoji7]
Akiwa ndio yeye kweli aliyekamatwa nitaugua mwenzenu [emoji24][emoji24][emoji24]
 
WEWE ugua tu-hawezi kuruhusiwa kumchafua mtu anayepigania democracy Tanzania
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akija lazima atakupa le super kiss you know
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawezi kunipa le super kiss,yeye anataka wabebz wanaozungumzia kupatwa kwa jua,uchaguzi wa USA,mimi wa kuomba bundle na hela ya saloon sio type yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aliyekuambia hivyo kakudanganya.
Le Mutuz ni mutu ya watu,hachagui habagui u know [emoji23][emoji23][emoji23]
I love it
 
mazungumzo yake na Nasrainternational ni soko la hisa,world pollution,ozone layer,wall street,nikei average-akikutana na mimi anapiga picha tuu na kuni dismiss
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nilikuwa nasita kuamini sasa naamini wewe ndiye Nasra mwenyewe.

Huyo Le Mutuz unamuona booooonge la bwana mwenyewe [emoji12]
 
Nishakuwa Nasra,mwenzangu hujiamini? au na wewe mtu wa viwango vya chini kama mimi???
 
Back
Top Bottom