Ina maana hayawezi kuintroduce tozo kama hizi za hapa kwetuHela watoe wapi, labda mwarabu wa juu kule wawape booster ila nao pia watachoka tu. Sasa hapo ndipo mzungu anapojichekea moyoni kwani anajua tu lazma kuna mtu atakubali masharti yake bila hivyo awe mpenzi mtazamaji
Hata wakiweza ku introduce tozo, hakuna mzunguko wa hela bado na economy yao ndivyo inaendelea kuzorota kila kukicha sababu yao kuogopwa na sharia law yao. Kutakuwa kama Somalia, pesa zinauzwa sokoni(hazina value tena)Ina maana hayawezi kuintroduce tozo kama hizi za hapa kwetu
Hizi mbinu zenu nazijua Sana...Allah anaweza kusema kwenye kulwani "Siwapendi wakristo" mkioneshwa mnaanza kusemaa ooh tafsiri yake sio hiyo ukiletewa Na tafsiri inasema hivohivo unaanza ooh unajua Kwa kiarabu neno sipendi Ni Sawa Na napenda...ukiletewa mpaka kamusi ya kiarabu unaanza unajua Kwa kipindi Kile kiarabu kilikuwa tofauti Kwanza Zakir Naik ameitafsiri tofauti kabisa Mimi namwaminiUna hakika na unayoyasema au umekaririsha aya moja ukaiongezea tafsiri unayopenda mwenyewe? Kufanya tafsiri ya Qurani ni kwamba unatakiwa uelewe context ya hiyo aya, na pengine huwa imeunganishwa na aya zilizoko kwenye sura nyingine ili kuleta maana kamili. Sasa nyinyi wenzetu huwa munafanyiwa 'quote' ya aya moja halafu na tafsiri ndiyo munakuja kuleta maneno mengi hapa.
Sasa wewe hata kutamka tu neno Kur'ani unaandika kulwani, sasa hicho unachosoma wewe siyo cha waislamu kabisa.Hizi mbinu zenu nazijua Sana...Allah anaweza kusema kwenye kulwani "Siwapendi wakristo" mkioneshwa mnaanza kusemaa ooh tafsiri yake sio hiyo ukiletewa Na tafsiri inasema hivohivo unaanza ooh unajua Kwa kiarabu neno sipendi Ni Sawa Na napenda...ukiletewa mpaka kamusi ya kiarabu unaanza unajua Kwa kipindi Kile kiarabu kilikuwa tofauti Kwanza Zakir Naik ameitafsiri tofauti kabisa Mimi namwamini
Ku'rani ndo Nini? Weka Na ushahidi hapaSasa wewe hata kutamka tu neno Kur'ani unaandika kulwani, sasa hicho unachosoma wewe siyo cha waislamu kabisa.
Zahir Naik ndiyo nani. Ni one school of thought. Ziko schools of thought nyingi
Kumbe somalia hela zinauzwa sokoni,nani anazinunua sasaHata wakiweza ku introduce tozo, hakuna mzunguko wa hela bado na economy yao ndivyo inaendelea kuzorota kila kukicha sababu yao kuogopwa na sharia law yao. Kutakuwa kama Somalia, pesa zinauzwa sokoni(hazina value tena)
Wao wenyewe na wageni 😂 😂 😂 😂 Niliona kwa news juzi, mabunda ya hela sokoni, unaenda na dollar zako unapewa Shillings/noti za Somalia. Wanapata faida hivi - kwa dollar 10 wanayobadili, dollar 1 ni yao, 9 ni zako. Sasa utapewa hela ya hizo dollar 9 (10%)Kumbe somalia hela zinauzwa sokoni,nani anazinunua sasa
Hii miarabu akili yao ipo kwenye midevu na tende tu
Hizi mbinu zenu nazijua Sana...Allah anaweza kusema kwenye kulwani "Siwapendi wakristo" mkioneshwa mnaanza kusemaa ooh tafsiri yake sio hiyo ukiletewa Na tafsiri inasema hivohivo unaanza ooh unajua Kwa kiarabu neno sipendi Ni Sawa Na napenda...ukiletewa mpaka kamusi ya kiarabu unaanza unajua Kwa kipindi Kile kiarabu kilikuwa tofauti Kwanza Zakir Naik ameitafsiri tofauti kabisa Mimi namwamini
Hayo madini watayatoa ardhini kwa kobazi?Kumbe na madini yapo
Kuongoza serikali ni tofauti na kuongoza kikundi cha wapiganaji.Jiulize waliwezaje kuendesha na kushinda vita kwa miaka ishirini huku Marekani ikitumia Dola trillion karibu tatu
Hata hivyo China, Pakistan,Russia, Turkey na Qatar wameonyesha nia ya kuwasaidia
Waarabu wastaarabu, wakarimu na wenye hekima kukuzidi wewe ulioko huko tandale cjui gongolamboto [emoji16]
Ngoja nikutoe ujinga kidogo "Afghanistan co waarabu"
Na ahamishie ngamia wote kwaoAtawapa tozo ta kizalendo ya Mabomu na ma AK 47
Na wakishindwa kulipa atahamisha ngamia wote waende ikungi kwao na kinampanda mpk wakipata tozo.Atawapa tozo ta kizalendo ya Mabomu na ma AK 47
We utakuwa chizi ww si bure maana ya neno kafiri ni mtu asiye muislam mmmh hakika kumbe kahawa znadumaza akili hiyo dictionary ya wapi ya Makkah au wapi hiyo. Mbona hata ndani Bible limetajwa neno kafiri.Maana ya 'kafiri' ni kila asiekuwa Muislamu. Kama kuna mtu anakereka na kukwazika kwa kuitwa kafiri, njia ya kuepukana na hilo awe Muislamu
Watawaleta wachina & waIranHayo madini watayatoa ardhini kwa kobazi?
We utakuwa chizi ww si bure maana ya neno kafiri ni mtu asiye muislam mmmh hakika kumbe kahawa znadumaza akili hiyo dictionary ya wapi ya Makkah au wapi hiyo. Mbona hata ndani Bible limetajwa neno kafiri.