Taliban hawana pesa ya kuendesha Serikali

Hela watoe wapi, labda mwarabu wa juu kule wawape booster ila nao pia watachoka tu. Sasa hapo ndipo mzungu anapojichekea moyoni kwani anajua tu lazma kuna mtu atakubali masharti yake bila hivyo awe mpenzi mtazamaji
Ina maana hayawezi kuintroduce tozo kama hizi za hapa kwetu
 
Hata wakiweza ku introduce tozo, hakuna mzunguko wa hela bado na economy yao ndivyo inaendelea kuzorota kila kukicha sababu yao kuogopwa na sharia law yao. Kutakuwa kama Somalia, pesa zinauzwa sokoni(hazina value tena)
 
Una hakika na unayoyasema au umekaririsha aya moja ukaiongezea tafsiri unayopenda mwenyewe? Kufanya tafsiri ya Qurani ni kwamba unatakiwa uelewe context ya hiyo aya, na pengine huwa imeunganishwa na aya zilizoko kwenye sura nyingine ili kuleta maana kamili. Sasa nyinyi wenzetu huwa munafanyiwa 'quote' ya aya moja halafu na tafsiri ndiyo munakuja kuleta maneno mengi hapa.
Hizi mbinu zenu nazijua Sana...Allah anaweza kusema kwenye kulwani "Siwapendi wakristo" mkioneshwa mnaanza kusemaa ooh tafsiri yake sio hiyo ukiletewa Na tafsiri inasema hivohivo unaanza ooh unajua Kwa kiarabu neno sipendi Ni Sawa Na napenda...ukiletewa mpaka kamusi ya kiarabu unaanza unajua Kwa kipindi Kile kiarabu kilikuwa tofauti Kwanza Zakir Naik ameitafsiri tofauti kabisa Mimi namwamini
 
Sasa wewe hata kutamka tu neno Kur'ani unaandika kulwani, sasa hicho unachosoma wewe siyo cha waislamu kabisa.

Zahir Naik ndiyo nani. Ni one school of thought. Ziko schools of thought nyingi
 
Ku'rani ndo Nini? Weka Na ushahidi hapa
Ndo apo huwa mnakimbilia kujificha kwenye Hizo schools of thought ukibanwa Kwa hii unaruka Kwa nyingine
 
Hata wakiweza ku introduce tozo, hakuna mzunguko wa hela bado na economy yao ndivyo inaendelea kuzorota kila kukicha sababu yao kuogopwa na sharia law yao. Kutakuwa kama Somalia, pesa zinauzwa sokoni(hazina value tena)
Kumbe somalia hela zinauzwa sokoni,nani anazinunua sasa
 
Wao wenyewe na wageni 😂 😂 😂 😂 Niliona kwa news juzi, mabunda ya hela sokoni, unaenda na dollar zako unapewa Shillings/noti za Somalia. Wanapata faida hivi - kwa dollar 10 wanayobadili, dollar 1 ni yao, 9 ni zako. Sasa utapewa hela ya hizo dollar 9 (10%)
 
Hizi mbinu zenu nazijua Sana...Allah anaweza kusema kwenye kulwani "Siwapendi wakristo" mkioneshwa mnaanza kusemaa ooh tafsiri yake sio hiyo ukiletewa Na tafsiri inasema hivohivo unaanza ooh unajua Kwa kiarabu neno sipendi Ni Sawa Na napenda...ukiletewa mpaka kamusi ya kiarabu unaanza unajua Kwa kipindi Kile kiarabu kilikuwa tofauti Kwanza Zakir Naik ameitafsiri tofauti kabisa Mimi namwamini

Kulwani ndio nini?
 
Jiulize waliwezaje kuendesha na kushinda vita kwa miaka ishirini huku Marekani ikitumia Dola trillion karibu tatu
Hata hivyo China, Pakistan,Russia, Turkey na Qatar wameonyesha nia ya kuwasaidia
 
Kuongoza serikali ni tofauti na kuongoza kikundi cha wapiganaji.
 
Haya magaidi lini wakawa wakarimu? Wanachinja watu,wanahukumu kwa kupiga mawe mtu Hadi kufa
Ukarimu wa mwarabu labda upo kuzimu
Waarabu wastaarabu, wakarimu na wenye hekima kukuzidi wewe ulioko huko tandale cjui gongolamboto [emoji16]

Ngoja nikutoe ujinga kidogo "Afghanistan co waarabu"
 
Maana ya 'kafiri' ni kila asiekuwa Muislamu. Kama kuna mtu anakereka na kukwazika kwa kuitwa kafiri, njia ya kuepukana na hilo awe Muislamu
We utakuwa chizi ww si bure maana ya neno kafiri ni mtu asiye muislam mmmh hakika kumbe kahawa znadumaza akili hiyo dictionary ya wapi ya Makkah au wapi hiyo. Mbona hata ndani Bible limetajwa neno kafiri.
 
Sasa unachobishia ni nini??? Unapingana hata na Qur'an, kitabu kisichokuwa na shaka!!!!
 
Back
Top Bottom