Ina maana hayawezi kuintroduce tozo kama hizi za hapa kwetuHela watoe wapi, labda mwarabu wa juu kule wawape booster ila nao pia watachoka tu. Sasa hapo ndipo mzungu anapojichekea moyoni kwani anajua tu lazma kuna mtu atakubali masharti yake bila hivyo awe mpenzi mtazamaji