Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Walikua wanawatazama tu wanawachora.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila jamani kumbe Afghan wana reserve ya 9 billion mara ya 3 tuliyonayo sisi huku nchi tajiri donors. Pamoja na tozo zote hizi jamaa wamepigana miaka 20 bado wana Billion 9 sisi toka uhuru tumebaki sijui na billion 3 inabidi tuwaombe jamaa pesa ya vyoo kidogo.Wamuajiri waziri wetu wa fedha wataona mfuko unatuna nakuwa mnono..😊
Ipo wapi hiyo Dola yake hilo kundi si lingekua hukoInategemea Mungu Gani unamuongelea...Kuna Mungu mmoja anapenda madaraka kinoma hata mtume wake alikuwa war monger...Aliua maelfu ya watu ili asimike Dola yake
Acha ujinga...Sasa wewe unaongelea mambo ya 1800s yalishatokea Sisi hatuwezi kuyabadilisha Na inawezekana wahusika wanajuta Na kujiona walikuwa wajinga
Sisi hapa tunaongelea yanayotokea Na yatakayoendelea kutokea.kwa sababu ya ideology Za kijinga zilizopitwa Na wakati
Sheikh Nani kakuambia nafata Biblia?Acha ujinga...
We mbona ya kwenye dini yako husemi ni ya zamani? mbona unafuata ya kwenye biblia au msaafu yalioandikwa miaka zaidi ya 2000?
mbona husemi yamepitwa na wakati?
Tuko pale pale tu kilichofanyika ni maboresho, asikudanganye mtu, ujinga wenu mzungu kuwaambia Africa kuna civil war, halafu wao ni world war!!
Dola ilianguka baada ya vita Za uturukiIpo wapi hiyo Dola yake hilo kundi si lingekua huko
Pesa wanayo imezuiwa tu hivi jamani hamsomi, jamaa wana 9 billion reserve sisi huku tuna 3 sijui ndio maana tozo kibao. Taliban wamepewa nchi na USA kuna makubaliano maalumu msidanganyike na hizi propaganda. Serikali iliyokuwepo madarakani walikuwa rushwa vibaya sana pamoja na pesa zote sasa USA mwaka jana walishaamua kuondoka Afghan ila kwa makubaliano na Taliban maana walikuwa na nguvu kukaa kimya kwa sababu ya USA uwepo wao pale ila wamewakabidhi nchi ndio maana huoni ugomvi kati ya Taliban na USA kuna makubaliano maalumu. USA wamejuwa demoskrasia haiwafai hawa jamaa na kumbuka kuna madini yako pale ya thamani kubwa sana hapo bado cocaine.Watauza Heroine watapata hela za kununua siraha wauane waishe wote
uongo upi? kwamba mujahidina hawajilipui, hawachinji watu kwa kumpigania Allah ??
Kwa hiyo hilo kundi ndo limeshindikana kufutwa ulimwenguni?Dola ilianguka baada ya vita Za uturuki
Nimesema biblia au msaafu...Sheikh Nani kakuambia nafata Biblia?
Kiongozi unaamini hawa wapuuzi wataweza kendesha uchumi wa nchi?Yani ninyi hata mkiambiwa NG'OMBE kanya dhahabu mtaamini kwakuwa tu taarifa imetoka western.
Tatizo sio kundi..tatizo Ni hiyo ideology ndo inayopaswa ifutwe Duniani...maana hata ukilifuta Hilo kundi patatokea vijana wengine Tu watasoma misaafu Na kuanzisha kundi lingineKwa hiyo hilo kundi ndo limeshindikana kufutwa ulimwenguni?
Sawa vyote Ni outdated. ila kimoja ndo kina madhara makubwa Zaid maana Biblia haijaamrisha wafuasi wake waingie barabaran kuchinja wasiomuamini Mungu waoNimesema biblia au msaafu...
halafu umejuaje mimi ni sheikh...
Hawana pesa ya kuendesha nchi ni kweli, na sasa UN, WHO, wana haha kweli kuona watawasaidiaje, kwani hali ni mbaya mno karibia 97℅wanaenda kukumbwa na baa la njaa kama misaada haitapelekwa!!pesa za serikali zote zilizokuwa nje zimezuiliwa!!!mnaandika vitu hamvijui eti talabani hawana pesa
Hawana pesa kwani hizo zilizozuiliwa ni za serikali iliyopita!!Kumbe fedha wanazo lakini kuna wajamaa fulani wamezizuia!!!!!
Hao jamaa ni ngumu sana kuaminiwa na jumuia za kimataifa!!kama tu kwenye serikali yao tayari wamewaweka magaida kuna nini hapo?!Na hakuna serikali ya kupewa hizo pesa kwa sasa, kumeingia machinjachinja tu, ikibidi hata risasi na mabomu yakiisha wasiruhusiwe hata kununua tena
Tafadhali naomba urejee hilo lililoandikwa kwenye hiko kimoja kuhusu kuchinja wasiomuamini mungu wao, nna nia ya kufahamu na mimi...Sawa vyote Ni outdated. ila kimoja ndo kina madhara makubwa Zaid maana Biblia haijaamrisha wafuasi wake waingie barabaran kuchinja wasiomuamini Mungu wao
Lazima alikuwepo. Kwani mtume wa waislamu aliwaambia wavae mabomu wajiripue?Hao Crusaders walikuwa wanafata mfano wa mtume wao yupi?
Hiyo misahafu wanasoma wao tu?Tatizo sio kundi..tatizo Ni hiyo ideology ndo inayopaswa ifutwe Duniani...maana hata ukilifuta Hilo kundi patatokea vijana wengine Tu watasoma misaafu Na kuanzisha kundi lingine