Taliban hawana pesa ya kuendesha Serikali

Taliban hawana pesa ya kuendesha Serikali

Wamuajiri waziri wetu wa fedha wataona mfuko unatuna nakuwa mnono..😊
Ila jamani kumbe Afghan wana reserve ya 9 billion mara ya 3 tuliyonayo sisi huku nchi tajiri donors. Pamoja na tozo zote hizi jamaa wamepigana miaka 20 bado wana Billion 9 sisi toka uhuru tumebaki sijui na billion 3 inabidi tuwaombe jamaa pesa ya vyoo kidogo.
 
Inategemea Mungu Gani unamuongelea...Kuna Mungu mmoja anapenda madaraka kinoma hata mtume wake alikuwa war monger...Aliua maelfu ya watu ili asimike Dola yake
Ipo wapi hiyo Dola yake hilo kundi si lingekua huko
 
Sasa wewe unaongelea mambo ya 1800s yalishatokea Sisi hatuwezi kuyabadilisha Na inawezekana wahusika wanajuta Na kujiona walikuwa wajinga

Sisi hapa tunaongelea yanayotokea Na yatakayoendelea kutokea.kwa sababu ya ideology Za kijinga zilizopitwa Na wakati
Acha ujinga...
We mbona ya kwenye dini yako husemi ni ya zamani? mbona unafuata ya kwenye biblia au msaafu yalioandikwa miaka zaidi ya 2000?
mbona husemi yamepitwa na wakati?

Tuko pale pale tu kilichofanyika ni maboresho, asikudanganye mtu, ujinga wenu mzungu kuwaambia Africa kuna civil war, halafu wao ni world war!!
 
Acha ujinga...
We mbona ya kwenye dini yako husemi ni ya zamani? mbona unafuata ya kwenye biblia au msaafu yalioandikwa miaka zaidi ya 2000?
mbona husemi yamepitwa na wakati?

Tuko pale pale tu kilichofanyika ni maboresho, asikudanganye mtu, ujinga wenu mzungu kuwaambia Africa kuna civil war, halafu wao ni world war!!
Sheikh Nani kakuambia nafata Biblia?
 
Watauza Heroine watapata hela za kununua siraha wauane waishe wote
Pesa wanayo imezuiwa tu hivi jamani hamsomi, jamaa wana 9 billion reserve sisi huku tuna 3 sijui ndio maana tozo kibao. Taliban wamepewa nchi na USA kuna makubaliano maalumu msidanganyike na hizi propaganda. Serikali iliyokuwepo madarakani walikuwa rushwa vibaya sana pamoja na pesa zote sasa USA mwaka jana walishaamua kuondoka Afghan ila kwa makubaliano na Taliban maana walikuwa na nguvu kukaa kimya kwa sababu ya USA uwepo wao pale ila wamewakabidhi nchi ndio maana huoni ugomvi kati ya Taliban na USA kuna makubaliano maalumu. USA wamejuwa demoskrasia haiwafai hawa jamaa na kumbuka kuna madini yako pale ya thamani kubwa sana hapo bado cocaine.
And Afghanistan is sitting on deposits estimated to be worth $1 trillion or more, including what may be the world's largest lithium reserves — if anyone can get them out of the ground.Aug 24, 2021
 
uongo upi? kwamba mujahidina hawajilipui, hawachinji watu kwa kumpigania Allah ??

Yani kijana unavyozidi kkomenti ndio unadhihirisha upeo wako jinc ulivyo, hujui chochote kuhusu taleban, hujui chochote kuhusu uisilamu na waisilamu kwa ujumla. Uisilamu haufundishi kuuwa wala kuripua watu wasio na hatia. Je, Taleban wamefanya hivyo???? Njoo na ushahidi uliokamilika na co story za mabeberu wako.(BBC, CNN)
 
Waje tuwafundishe namna ya kukusanya pesa kupitia tozo
 
Kwa hiyo hilo kundi ndo limeshindikana kufutwa ulimwenguni?
Tatizo sio kundi..tatizo Ni hiyo ideology ndo inayopaswa ifutwe Duniani...maana hata ukilifuta Hilo kundi patatokea vijana wengine Tu watasoma misaafu Na kuanzisha kundi lingine
 
mnaandika vitu hamvijui eti talabani hawana pesa
Hawana pesa ya kuendesha nchi ni kweli, na sasa UN, WHO, wana haha kweli kuona watawasaidiaje, kwani hali ni mbaya mno karibia 97℅wanaenda kukumbwa na baa la njaa kama misaada haitapelekwa!!pesa za serikali zote zilizokuwa nje zimezuiliwa!!!
Kumbe fedha wanazo lakini kuna wajamaa fulani wamezizuia!!!!!
Hawana pesa kwani hizo zilizozuiliwa ni za serikali iliyopita!!
 
Uwezi kuwa na mashamba yanayotoa kitu inaitwa heroine high grade alafu ukose pesa.
 
Na hakuna serikali ya kupewa hizo pesa kwa sasa, kumeingia machinjachinja tu, ikibidi hata risasi na mabomu yakiisha wasiruhusiwe hata kununua tena
Hao jamaa ni ngumu sana kuaminiwa na jumuia za kimataifa!!kama tu kwenye serikali yao tayari wamewaweka magaida kuna nini hapo?!
 
Sawa vyote Ni outdated. ila kimoja ndo kina madhara makubwa Zaid maana Biblia haijaamrisha wafuasi wake waingie barabaran kuchinja wasiomuamini Mungu wao
Tafadhali naomba urejee hilo lililoandikwa kwenye hiko kimoja kuhusu kuchinja wasiomuamini mungu wao, nna nia ya kufahamu na mimi...
 
Tatizo sio kundi..tatizo Ni hiyo ideology ndo inayopaswa ifutwe Duniani...maana hata ukilifuta Hilo kundi patatokea vijana wengine Tu watasoma misaafu Na kuanzisha kundi lingine
Hiyo misahafu wanasoma wao tu?

Unaonaje ukifutika wewe kama kero imekua nzito sana kwako?
 
Back
Top Bottom