TALIBAN imezitaka Urusi na Ukraine kutatua mzozo huo kwa njia za amani

TALIBAN imezitaka Urusi na Ukraine kutatua mzozo huo kwa njia za amani

Sikuwahi kujua kwamba Putin ni mpumbavu kiasi hiki.

Unaua innocent souls kwa sababu ambazo hata hazifai kuitwa sababu.

Kwani CCM wanasema je kuhusu Putin?

Kwani hata kuna tamko lolote kumhusu?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duh hawa jamaa wanaturudisha nyuma miaka 700 iliyopita kipindi cha Muddy 🙄
 
Back
Top Bottom