Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi ningekua putin ningewabomoa tuu. Haiwezekani mtu ana kuweka kidole machoni halafu unamwangalia tuu.Sikuwahi kujua kwamba Putin ni mpumbavu kiasi hiki.
Unaua innocent souls kwa sababu ambazo hata hazifai kuitwa sababu.
... hivi uko utupu hadharani mhuni akiku-alert uko utupu atakuwa wrong kwa sababu ni mhuni? Let's accept the reality whether it's against our wishes or otherwise.Mhuni anapotoa ushauri...
... hivi uko utupu hadharani mhuni akiku-alert uko utupu atakuwa wrong kwa sababu ni mhuni? Let's accept the reality whether it's against our wishes or otherwise.
Ukraine haijajiunga na Nato.Hata mimi ningekua putin ningewabomoa tuu. Haiwezekani mtu ana kuweka kidole machoni halafu unamwangalia tuu.
Ukraine ina full support ya NATO ambao ni maadui dhahiri wa Russia. Putin hawezi kuwa mjinga kukaribisha maadui zake kwenye mipaka ya nchi yake. NeverUkraine haijajiunga na Nato.
Ukraine haina silaha zilizowekwa na marekani.
Ukraine ni Taifa huru lenye haki ya kufanya maamuzi yake.
Urusi inafanya maamuzi yake na haiingiliwi na Ukraine.
Kwanini Urusi isiheshimu maamuzi ya nchi huru??
[emoji1787][emoji1787]Hili tamko la Taliban lilitakiwa liwe MEME.. [emoji1][emoji1]
Style ya Putin na Magufuli hazina tofauti wote ni nationalistUkraine ina full support ya NATO ambao ni maadui dhahiri wa Russia. Putin hawezi kuwa mjinga kukaribisha maadui zake kwenye mipaka ya nchi yake. Never
Style ya Putin na Magufuli hazina tofauti wote ni nationalist
Ila unamchukia Magufuli na kumsupport Putin kisa ni mzungu.
Miafrika ndivyo tulivyo.
Putin nilikua namuelewa sana ila kaniboa.Magu hatunaye je Putin naye ataondoka??!! 😨
Nawaza ikikosa cjui itakuje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Serikali ya Afghanistan kwa sasa inatafuta mno uungwaji mkono
Duuu Talban katisha.Kundi la Taliban linaloongoza serikali ya Afghanistan limezitaka Russia na Ukraine kumaliza tofauti kwa njia za amani. Hapa chini ni taarifa yake kwa kiswahili (sio rasmi)..
"Emirate ya Kiislamu ya Afghanistan inafuatilia kwa karibu hali ya Ukraine na inaelezea wasiwasi wake juu ya uwezekano wa kweli wa mauaji ya raia.
Imarati ya Kiislamu inatoa wito wa kujizuia kwa pande zote mbili. Pande zote zinapaswa kuacha kuchukua misimamo ambayo inaweza kuzidisha vurugu.
Emirate ya Kiislamu ya Afghanistan, kwa kuzingatia sera yake ya nje ya kutoegemea upande wowote, inatoa wito kwa pande zote mbili za mzozo kutatua mgogoro huo kwa njia ya mazungumzo na njia za amani.
Imarati ya Kiislamu pia inatoa wito kwa pande zinazohusika katika mzozo huo kuzingatia kulinda maisha ya wanafunzi wa Afghanistan na wahamiaji nchini Ukraine".
View attachment 2133230
Naskia wamesema ushauri wao usiposikilizwa wataingia na kuwapiga wote hadi wapoteeKundi la Taliban linaloongoza serikali ya Afghanistan limezitaka Russia na Ukraine kumaliza tofauti kwa njia za amani. Hapa chini ni taarifa yake kwa kiswahili (sio rasmi)..
"Emirate ya Kiislamu ya Afghanistan inafuatilia kwa karibu hali ya Ukraine na inaelezea wasiwasi wake juu ya uwezekano wa kweli wa mauaji ya raia.
Imarati ya Kiislamu inatoa wito wa kujizuia kwa pande zote mbili. Pande zote zinapaswa kuacha kuchukua misimamo ambayo inaweza kuzidisha vurugu.
Emirate ya Kiislamu ya Afghanistan, kwa kuzingatia sera yake ya nje ya kutoegemea upande wowote, inatoa wito kwa pande zote mbili za mzozo kutatua mgogoro huo kwa njia ya mazungumzo na njia za amani.
Imarati ya Kiislamu pia inatoa wito kwa pande zinazohusika katika mzozo huo kuzingatia kulinda maisha ya wanafunzi wa Afghanistan na wahamiaji nchini Ukraine".
View attachment 2133230
Hii ndio serikali sasa, 🤣🤣 sijui kwanini hawajafungua ubarozi wao hapaKundi la Taliban linaloongoza serikali ya Afghanistan limezitaka Russia na Ukraine kumaliza tofauti kwa njia za amani. Hapa chini ni taarifa yake kwa kiswahili (sio rasmi)..