FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Taliban huko Kandahar Afghanistan wamefanya gwaride la aina ya kipekee duniani, haijawahi kutokea.
Gwaride la kijeshi ambalo. Limehusisha vifaa walivyoviteka tu.
Taliban walivamiwa na majeshi ya Marekani (USA) yakishirikisha majeshi ya nchi 30 za NATO.
Taliban hawakukubali, wakaingia vitani wakipigana na mataifa 30 yanayoaminika kuwa na nguvu kubwa za kivita duniani, yakiongozwa na Marekani, vita iliyodumu kwa miaka 20 mfululizo. Jionee gwaride la kiajabu 👇🏾
Pia kabla ya hiyo juu Kandahar walionesha vya mji mwengine unaoitwa Khost, jionee 👇🏾
Hahaha, wanavyotia hasira, wametinga mpaka nguo za jeshi la USA walizoacha kwenye store zilizotekwa. Hawa jamaa si mchezo.
Kweli hivi ndiyo vidume kiboko ya USA.