Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

Muislam ndugu yake ni Muislam, awe wa Afghanistan au Wamarekani, haijalishi. Waislam wa dunia nzima ni kama Kiwiliwili kimoja.


Muislam hawi na ugomvi na yeyote duniani, tunaruhusiwa kujihami na kurudishia tu tunapoanzwa. Haturuhusiwi kulianzisha.


Wewe siyo Muislam?
Kama dini yenu inafundisha hayo basi ni upuuzi
 
Taliban huko Kandahar Afghanistan wamefanya gwaride la aina ya kipekee duniani, haijawahi kutokea.

Gwaride la kijeshi ambalo. Limehusisha vifaa walivyoviteka tu.
Taliban walivamiwa na majeshi ya Marekani (USA) yakishirikisha majeshi ya nchi 30 za NATO.

Taliban hawakukubali, wakaingia vitani wakipigana na mataifa 30 yanayoaminika kuwa na nguvu kubwa za kivita duniani, yakiongozwa na Marekani, vita iliyodumu kwa miaka 20 mfululizo. Jionee gwaride la kiajabu 👇🏾



Kweli hivi ndiyo vidume kiboko ya USA.

Yani wewe nnamashaka na akili yako
 
Kwamba Taliban walipamban wakashinda.

Acha udini ulio nao. Watu wanajua hyo story vizuri na nafkiri hata wewe unajua.
Acha kutudanganya hapa kisa wew ni mfia dini
Faiza aliishi kama digidigi enzi za John Magufuli, saa hizi amepata pa kujambia
 
Back
Top Bottom