Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Ndo maana nakwambia wewe nnapata mashaka na uwezo wa akili yako.😵Mimi ni Muislam kweli, lini nilikwambia siyo Muislam?
Wapi nimekwambia wewe sio muislam?
Yani mimi ndo nakwambia wewe ni muislam tena unajinasibu unaimani kumbe CPU ya ubongo wako ina tafsiri kwa kuweka negation
Yaani kihesabu ubongo wako nauona umewekewa logical inverter (Not gate) kwenye logical operation operator
P = P'