Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

Yani wewe nnamashaka na akili yako
Wahega walisema "akili ni nywele kila mtu ana zake".

Wewe poyoyo kweli kweli, akili si zako, za mwenzako halafu yakuingie wewe mashaka! Duh.

Wewe ukikuta mtu kaandika kitu, popote pale pambana na hoja , yeye mwaxhe kama alivyo. Kuanza kupambana na akili za mtu huko ni kushindwa, pmbanisha akili zako upanguwe hoja zake au kama umeona anachokiandika siyo cha kweli, weka wewe ukweli uujuwao.

Umeelewa kijana?
 
Umempiga za chembe
Sewe nakukumbuka sana, hujaacha mchezo wako wakutumia muda wa kazi kuingia JF? Niliwahi kukwambia miaka mingi sana nyuma, naona unauendeleza uzi.

Huyo hana uwezo huo. Ni kama wewe tu, wote hamna art ya midala nyinyi, mna safari ndefu sana ya kujirekebisha.
 
Muislam hawi na ugomvi na yeyote duniani, tunaruhusiwa kujihami na kurudishia tu tunapoanzwa. Haturuhusiwi kulianzisha.
Mnavyojua kujipamba kwenye maelezo sasa,

Tofauti na uhalisia.

Yaan kwenye theory ni rangi ya waridi na harufu nzuri,
Njoo kwenye practical ni mavi.

Dini yenu inategemea zaidi uwepo wa dini nyingine. Na psychology yenu ndio iko mrama tu ndo maana hamuwezi feel upande wa pili. Mko tyari kutetea hata uongo.

Shame on you guys
 
Nifundishe wewe uhalisia wa Uislam, maana yake mimi nnauishi wewe unauona kwa mbali, unaweza kuyaona nisiyaona.
 
Wewe poyoyo kweli kweli, akili si zako, za mwenzako halafu yakuingie wewe mashaka! Duh.

WeWe ukikuta mtu kaandika kitu, popote palem pambana na hoja , yeyey mwaxhe kama alivyo. Kuanza kupambana na akili za mtu huko ni kushindwa, pmbanisha akili zako upanguwe hoja zake au kama umeona anachokiandika siyo cha kweli, weka wewe ukweli uujuwao.
Ingalikuwa ni topic yenye kueleweka wala hata nsingekuja kusema hivyo.

Sasa sioni haja ya kuendeleza mjadala na wewe kwani nimetilia shaka na uwezo wa akili yako kuchanganua, na kuchakata mambo.

Wewe unaweza endeleza mjadala na mtu asiye na akili ya kawaida mkuu
 
Sewe nakukumbuka sana, hujaacha mchezo wako wakutumia muda wa kazi kuingia JF? Niliwahi kukwambia miaka mingi sana nyuma, naona unauendeleza uzi.

Huyo hana uwezo huo. Ni kama wewe tu, wote hamna art ya midala nyinyi, mna safari ndefu sana ya kujirekebisha.
Faiza, Nina miaka kumi plus hapa jukwaani, sijajaajiriwa na MTU, Sina uchawa, naishi Kwa jasho langu, Sina haja ya kujipendekeza Kwa watawala Kwa kivuli Cha siasa au udini Ili niweze kuishi kama wewe. Yaani WEWE nje ya system na udini huwezi kuishi, si unakumbuka enzi za John Magufuli?

Faiza umesahau Mimi na wewe tulikutana kwenye Ile saccos yenu mlikodhulumu watu Kwa miradi feki enzi zile? Umesahau ulivyokua unapigia upatu ule mradi wa mchanga na excavator? Kumbe ulikua mpigaji tu? Tuishie hapa Kwa sasa
 
Ingalikuwa ni topic yenye kueleweka wala hata nsingekuja kusema hivyo.

Sasa sioni haja ya kuendeleza mjadala na wewe kwani nimetilia shaka na uwezo wa akili yako kuchanganua, na kuchakata mambo.

Wewe unaweza endeleza mjadala na mtu asiye na akili ya kawaida mkuu
Upo huru na akili zako za kawaida. Good day.

Umewaona Taliban lakini, umeyupitia uzi? maana kuna video ckip nyengine.
 
Nifundishe wewe uhalisia wa Uislam, maana yake mimi nnauishi wewe unauona kwa mbali, unaweza kuyaona nisiyaona.
1. Uongo

Ushahidi ni huu uzi pia.
Muislam tena mwenye iman Unadanganya umati. Huoni kuwa unajishushia hadhi yako?
 
Si kwa umri huu tena.
Imekuaje FA ya mpira wa miguu ya Canada imetangaza kufilisika na kutaka kujitoa kwenye mashindano ya FIFA?

Nini kimeifikisha hapo ilipo?

Hii ni funzo kwa michezo mingine?
 
Faiza, Nina miaka kumi plus hapa jukwaani, sijajaajiriwa na MTU, Sina uchawa, naishi Kwa jasho langu, Sina haja ya kujipendekeza Kwa watawala Kwa kivuli Cha siasa au udini Ili niweze kuishi kama wewe. Yaani WEWE nje ya system na udini huwezi kuishi, si unakumbuka enzi za John Magufuli?

Faiza umesahau Mimi na wewe tulikutana kwenye Ile saccos yenu mlikodhulumu watu Kwa miradi feki enzi zile? Umesahau ulivyokua unapigia upatu ule mradi wa mchanga na excavator? Kumbe ulikua mpigaji tu? Tuishie hapa Kwa sasa
Sijawahi kuwepo zaidi ya kuwasiliana nao watu wa saccos kwenye simu na whatsapp tu. Walikuzulumu nini? Mbona mimi sijazulumiwa?
 
1. Uongo

Ushahidi ni huu uzi pia.
Muislam tena mwenye iman Unadanganya umati. Huoni kuwa unajishushia hadhi yako?
Mimi ni Muislam kweli, lini nilikwambia siyo Muislam?

Huu uzi umekudanganya nini?
 
Faiza, Nina miaka kumi plus hapa jukwaani, sijajaajiriwa na MTU, Sina uchawa, naishi Kwa jasho langu, Sina haja ya kujipendekeza Kwa watawala Kwa kivuli Cha siasa au udini Ili niweze kuishi kama wewe. Yaani WEWE nje ya system na udini huwezi kuishi, si unakumbuka enzi za John Magufuli?

Faiza umesahau Mimi na wewe tulikutana kwenye Ile saccos yenu mlikodhulumu watu Kwa miradi feki enzi zile? Umesahau ulivyokua unapigia upatu ule mradi wa mchanga na excavator? Kumbe ulikua mpigaji tu? Tuishie hapa Kwa sasa
Kumbe unajua mengi mkuu,

Kuna haja nifahamu najadiliana na mtu wa imani gani.

Kwa maelezo haya tu narndelea kutilia shaka matendo yako na imani yako ya kiislamu unayoieneza kwa kusema ni ya haki.
Sasa kama inakufundisha haki wewe unatenda haki kwa madai yaliyoletwa hapo juu?
 
Imekuaje FA ya mpira wa miguu ya Canada imetangaza kufilisika na kutaka kujitoa kwenye mashindano ya FIFA?

Nini kimeifikisha hapo ilipo?

Hii ni funzo kwa michezo mingine?
Hili swali hapa siyo sehemu yake nakwenda kulijibu kwengine.
 
Faiza, mimi nataka nikuoe.

Nikuondolee Sonona. Walau uwe na furaha na amani kidogo.

Upo tayari?
 
Upo huru na akili zako za kawaida. Good day.

Umewaona Taliban lakini, umeyupitia uzi? maana kuna video ckip nyengine.
Mtu wa kisasa katika ulimwengu huu uliostaarabika,

Hawezi kuwa mdini kama wewe, wewe unaweza ona uko sawa lakini nafkiri huwa unaona comments za walio wengi sana hukulalamikia wewe ni mdini.

Mimi naamini Unayo akili ya kureason mambo na ukapata output nzuri tatzo ni imefungwa na mtazamo wa kidini.

Badilika mkuu
 
Sasa kijana Uislam wangu mimi, wewe unakuuma nini?

Jamani, kwani mtu kuipenda dini yake vibaya?

Au imekuuma kuona Taliban wamempa mkong''oto USA na washirika wake wote wa NATO mpaka wametoka nduki?

Sikuelewi, kwanini uwashabikiw watu walioenda kuvamia nchi ya watu na kuuwa, watu wazima, watoto wadogo, wanawake bila sababu yoyoyte. Dah.

Hivi USA walikosewa nini na Afghanistan mpaka wakaenda kuwavamia, au ubabe tu?

Lakini waliipata fresh.
 
Sijawahi kuwepo zaidi ya kuwasiliana nao watu wa saccos kwenye simu na whatsapp tu. Walikuzulumu nini? Mbona mimi sijazulumiwa?
Faiza tulia Nina file lako, ukae Kwa kutulia sana! Acha kujificha kwenye kivuli Cha siasa na udini. Any way tuendelee na DP WORLD hayo ni yangu Mimi na wewe.
 
Mkuu,

Tafadhali sana. Usiyatoe hadharani hayo. Ninataka kumsitiri. Kuyasema hayo utasababisha nighairi mpango.
 
Back
Top Bottom