Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

Wacha uongo kijana, weka ushahidi wa mimi kukutukana.

Naona mnajitekenya wenyewe mnacheka wenyewe.
Wewe mbona unazidi kudhihirisha kuwa akili yako haiko vizuri.

Wapi nmesema umenitukana, unaweza kunionesha nlipoandika umenitukana.
 
Hivi kweli marekani apigwe na vipuuzi vitaliban??
Akili zako unazijua mwenyewe aisee
Huyu anadhani hatujui hayo mambo.
Usishangae huyu ni mdini sana, kwahyo mwelewe tu
 
fact kabisa hilo ndo jeshi masikini na laviraza kuliko yote duniani, unamfumania mgoni wako anatoka nduki huku akiwa uchi,we unakuja kuvaa nguo yake ya ndani hazarani tena mbele za watu ukijipiga kifua we ni mwamba kwa mgoni wako huo si uzuzu?
Wenyewe wanakwambia hawana hamu na vidume hivyo.

Tena ngoja tuwaambie DP World ndiyo wawaweke pale bandarini, hawahongeki hao.
 
Kuwa Na akili basi mtoa mada Kichwa cha habari Taliban ,ujumbe na picha znahusu USA ,unaona ubongo wako una shida mahali!??
 
Wenyewe wanakwambia hawana hamu na vidume hivyo.

Tena ngoja tuwaambie DP World ndiyo wawaweke pale bandarini, hawahongeki hao.
Marine hawakukimbia ila waliondoka na kuwaachia uwanja watalibani.Wakawapa silaha na nguo na spare part za magari na hao viongozi wa wataliban ni vibaraka wa wamarekani..Ukiweka ushabiki kwenye siasa au udini kwenye siasa utafeli..Unawakumbuka mujahedin na vita vyao na warusi????? Sasa unadhani talban wametokea wapi????????? kabla ya 1996???????? Nilidhani umeshawahi kukaa karachi au Kabul na ukazungumza na hao talban member's.... .Ni vyema ukatuuliza watu tuliokaa na watalban tukuadithie......Siasa ni mchezo mchafu na dini inatumika kuficha ukweli sasa usiwe maamuma Faiza
 
Hivi kweli marekani apigwe na vipuuzi vitaliban??
Akili zako unazijua mwenyewe aisee
Sasa unafikiri nini kilichomtowa nduki? Wenyewe wanakiri kutandikwa: Wasikile,siku ya mwisho wanatandikwa hiyo, Kabul:

Hao wanawaenzi wanawake.

Wewe nikuulize, mali yako thanai unaiwacha wazi au unaifutika hakuna hata anaejuw ilipo? Sasa fikiri, kuna kitu gani adimu na chenye thamani zaidi ya mwanmke mwema?
"kitu" ??
 
Faiza, Nina miaka kumi plus hapa jukwaani, sijajaajiriwa na MTU, Sina uchawa, naishi Kwa jasho langu, Sina haja ya kujipendekeza Kwa watawala Kwa kivuli Cha siasa au udini Ili niweze kuishi kama wewe. Yaani WEWE nje ya system na udini huwezi kuishi, si unakumbuka enzi za John Magufuli?

Faiza umesahau Mimi na wewe tulikutana kwenye Ile saccos yenu mlikodhulumu watu Kwa miradi feki enzi zile? Umesahau ulivyokua unapigia upatu ule mradi wa mchanga na excavator? Kumbe ulikua mpigaji tu? Tuishie hapa Kwa sasa
Katika watu wa kuwapuuzia kutokana na udini, basi ni huyu faiza. Namuonaga mpuuzi siku zote. Hatari sana wajinga kama hawa kushika madaraka makubwa ndani ya jamii na taifa.
 
Muislam hawi na ugomvi na yeyote duniani, tunaruhusiwa kujihami na kurudishia tu tunapoanzwa. Haturuhusiwi kulianzisha.
Somalia waislamu watupu mbona wanatwangana wao kwa wao?.

Sudan kaskaxini waislamu watupu.mbona wanatwangana wao kwa wao?
 
Marine hawakukimbia ila waliondoka na kuwaachia uwanja watalibani.Wakawapa silaha na nguo na spare part za magari na hao viongozi wa wataliban ni vibaraka wa wamarekani..Ukiweka ushabiki kwenye siasa au udini kwenye siasa utafeli..Unawakumbuka mujahedin na vita vyao na warusi????? Sasa unadhani talban wametokea wapi????????? kabla ya 1996???????? Nilidhani umeshawahi kukaa karachi au Kabul na ukazungumza na hao talban member's.... .Ni vyema ukatuuliza watu tuliokaa na watalban tukuadithie......Siasa ni mchezo mchafu na dini inatumika kuficha ukweli sasa usiwe maamuma Faiza
Tazama post No. 90 juu hapo.
 
Katika watu wa kuwapuuzia kutokana na udini, basi ni huyu faiza. Namuonaga mpuuzi siku zote. Hatari sana wajinga kama hawa kushika madaraka makubwa ndani ya jamii na taifa.
Hahahaha uko sahihi ila ukikaa nao karibu utagundua Wana depression kubwa snaa wanahitaji msaada wetu
 
Wewe ukiiina maiti ya Osama? Si walijidai. Etu. Wsmemzika baharini. Kuna bahari ya nani huko, tazama ramani.

USA waongo, wewe unaamini walimuua?
Kama hawakumuua yuko wapi siku hizi Osama, au unaishi naye mmekaa naye kwenye surf muda huu hapo kwako.
 
Somalia waislamu watupu mbona wanatwangana wao kwa wao?.

Sudan kaskaxini waislamu watupu.mbona wanatwangana wao kwa wao?
Wanafitinishwa kwa mali na Wamarekani. Somalia Mafuta matupu ardhi yake, na wengine wameshajigawa wameona tukiwaendekeza hawa tutamalizana, sasa hivi mambo yanaendelea kuwa mazuri huko.
 
Tazama post No. 90 juu hapo.
Hujui siasa za dunia Faiza...Wewe ni shabiki wa kidini.... Hujawahi kukaa Kabul toka talbani waachukue uongozi na hujui madhila wanayopitia wana nchi wa kawaida pale Kabul tu...Hatuwezi kujadiliana,wewe ni shabiki wa kidini sio mchumi au mwanasiasa na huelewi chochote..
 
Wanafitinishwa kwa mali na Wamarekani. Somalia Mafuta matupu ardhi yake, na wengine wameshajigawa wameona tukiwaendekeza hawa tutamalizana, sasa hivi mambo yanaendelea kuwa mazuri huko.
Nikua Khartoum hata kikipiga kimbunga au mafuriko utawasikia,, """Mayahudi hao na Mamarekani wameleta vimbunga na mafuriko hapa"""🤣🤣🤣😂😂
 
Back
Top Bottom