kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
hatushangai
Ushabiki wako wa DPW
Ushabiki wako wa DPW
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu ni kwamba ukiambiwa uchague kama ukaishi Afghanistan unakoshabikia au Japan, Austria Canada, UK bado hautaichagua Afghanstan.Upo huru na akili zako za kawaida. Good day.
Umewaona Taliban lakini, umeyupitia uzi? maana kuna video ckip nyengine.
Kuchunglia kaptula ya lishangazi utapata laana mtoto...😎😎Yaani umeshaanza kum switihati wakati na mimi navizia humohumo?
Kuwatenga wanawake na kutowapa uongozi ni kuwaenzi?Hao wanawaenzi wanawake.
Upo huru. Tena vifaa siyo hivyo tu, January walionesha vya mji mwengine unaoitwa Khost, jionee [emoji1484]
Hahaha, wanavyotia hasira, wametinga mpaka nguo za jeshi la USA wslizoacha kwenye store zilizotekwa. Hawa jamaa si mchezo.
Unajuwa hivi vidume havijawahi kutawaliwa.
Afghanistan wanasomesha wanawake? Sisi waafrika dini zetu ni zipi, tujitambue sasaManeno tu hayo, pitia mtandaoni uone.
Wewe unawasikiliza sana uongo wa USA kwa kutaka dunia iwaunge mkono?
Uislam ndiyo uliofundisha ukimsomesha mwanamke ni kama umeisomesha dunia.
Swali fikirishiWewe ukiiina maiti ya Osama? Si walijidai. Etu. Wsmemzika baharini. Kuna bahari ya nani huko, tazama ramani.
USA waongo, wewe unaamini walimuua?
Yuko wapi? Al Qaeda Iko wapi?Wewe ukiiina maiti ya Osama? Si walijidai. Etu. Wsmemzika baharini. Kuna bahari ya nani huko, tazama ramani.
USA waongo, wewe unaamini walimuua?
Wamuombe PUTIN waende kupigana ukraine maana USA anaweza pigwa na kinyago alichotengeneza mwenyewe.Upo huru. Tena vifaa siyo hivyo tu, January walionesha vya mji mwengine unaoitwa Khost, jionee [emoji1484]
Hahaha, wanavyotia hasira, wametinga mpaka nguo za jeshi la USA wslizoacha kwenye store zilizotekwa. Hawa jamaa si mchezo.
Unajuwa hivi vidume havijawahi kutawaliwa.
Kwani lazima utukane?Unawashwa.
Ungeachana nao ukajikita kwenye hoja.Wahega walisema "akili ni nywele kila mtu ana zake".
Wewe poyoyo kweli kweli, akili si zako, za mwenzako halafu yakuingie wewe mashaka! Duh.
WeWe ukikuta mtu kaandika kitu, popote palem pambana na hoja , yeyey mwaxhe kama alivyo. Kuanza kupambana na akili za mtu huko ni kushindwa, pmbanisha akili zako upanguwe hoja zake au kama umeona anachokiandika siyo cha kweli, weka wewe ukweli uujuwao.
Umeelewa kijana?
Akili yako iko taabani shangazi kaja.Hilo gwaride ndiyo sherehe rasmi ya ushindi wa Taliban toka August 2021 USA walipotoka nduki.
Hivi vifaa vikiaribika, watapata wapi vipuri vya kutengeneza, na hizo nguo wana kiwanda zikichakaa....?Alipo uawa Osama walikuwa nchi Gani?, America Hawa ondokagi na vifaa, huwa wana viacha.Kwao askari wao ndio wa maana, pili majeshi mengi hayatumii silaha za adui, Hili ni jeshi la ajabu
Punguza jazba ili uandike kwa usahihi, unachapia chapia kuandika utafikiri unaandika ukiwa unaoga nje ya nyumba.Wewe ukiiina maiti ya Osama? Si walijidai. Etu. Wsmemzika baharini. Kuna bahari ya nani huko, tazama ramani.
USA waongo, wewe unaamini walimuua?
Taliban huko Kandahar Afghanistan wamefanya gwaride la aina ya kipekee duniani, haijawahi kutokea.
Gwaride la kijeshi ambalo. Limehusisha vifaa walivyoviteka tu.
Taliban walivamiwa na majeshi ya Marekani (USA) yakishirikisha majeshi ya nchi 30 za NATO.
Taliban hawakukubali, wakaingia vitani wakipigana na mataifa 30 yanayoaminika kuwa na nguvu kubwa za kivita duniani, yakiongozwa na Marekani, vita iliyodumu kwa miaka 20 mfululizo. Jionee gwaride la kiajabu 👇🏾
Pia kabla ya hiyo juu Kandahar walionesha vya mji mwengine unaoitwa Khost, jionee 👇🏾
Hahaha, wanavyotia hasira, wametinga mpaka nguo za jeshi la USA wslizoacha kwenye store zilizotekwa. Hawa jamaa si mchezo.
Kweli hivi ndiyo vidume kiboko ya USA.
Wewe unaandika ukiwa umejificha Tanzania huku, ungekuwepo huku wakati mabwana zenu Talban wanaishi kama digidigi kwenye milima ya kandahar huko, usingewashwa hivi USA ni baba lenu warabuAlhamduliLlah, nipo kwangu starehe na surf tu. Si ndiyo kupumzika huku.
Faiza ni kafiri tu mla nguruwe, hana lolote aende Afghanstan ili akabakwe huko, huko wakina Faiza Fox ni vyombo vya kustarehesha talban tu wala sio chchteNaona wewe imekuuma mambo ya Taliban. Subiri tu nondo ikuingie.
. Hivyo vidume lazima uchukie kuvipenda, si mchezo.
Sijakuelewa kabisa unachobwabwaja.Wewe unaandika ukiwa umejificha Tanzania huku, ungekuwepo huku wakati mabwana zenu Talban wanaishi kama digidigi kwenye milima ya kandahar huko, usingewashwa hivi USA ni baba lenu warabu
Hahahaaa ulishaishi Somali, Lebanon, Syria na Sasa Pakistan Hadi kupata tenda...wewe mgonjwa kichwaniM
Mwaka 2006 nilipata tenda ya mazagazaga kule karachi mpaka manzar el sharif nitaleta uzi