sabuni ya gesi
Member
- Dec 4, 2019
- 48
- 45
Huyu mzee hadi kumer ishakosa radha ila hajitambuiUnawashwa.
Northern Alliance ni Washirika wa Marekani, mwaka 2000 Taliban walipiga marufuku Kabisa kilimo hiko, 2001 Marekani alivyoingia madarakani akawaweka Waliokua waasi wa Taliban kama watawala ghafla biashara ikakua kuna kipindi marekani yupo hapo asilimia 94 ya Heroine yote Duniani ilitoka hapo,Si wote ni dini ya mnyaanzi? Kama wanashiriki kwa vyovyote ,waliwahi kuja bongo na kuwaona mateja wanavyotesa familia zao?
Sidhan kama Taliban ni vichaa kuamuliwa kila kitu na marekanNorthern Alliance ni Washirika wa Marekani, mwaka 2000 Taliban walipiga marufuku Kabisa kilimo hiko, 2001 Marekani alivyoingia madarakani akawaweka Waliokua waasi wa Taliban kama watawala ghafla biashara ikakua kuna kipindi marekani yupo hapo asilimia 94 ya Heroine yote Duniani ilitoka hapo,
Soma kitabu hiko
sehemu zote zenye Unga duniani Marekani yupo, badala ya kuwalamu hao wakulima wa Afghan ama South America bora uwalaumu hao mapapa wanaohusika.
pia ufahamu mmea wa Coca ama poppy inayolimwa Afghanistan sio Unga, hio ni mimea kama mimea mingine unaweza ukatengeneza Kinywaji kama Coca-Cola, inakua unga baada ya huo mmea kuvunwa na kuingia maabara kumixiwa na madude mengine.
Hii Habari ya 2023 Taliban wakifyeka Mashamba ya poppy
Inside the Taliban's war on drugs - opium poppy crops slashed
Afghanistan's leaders are following through on their anti-drug decree to stop cultivation.www.bbc.com
BBC wamethibitisha kwa satelite images kilimo kimepungua kwa zaidi ya asilimia 20.
Hujambo binti yangu?.
USA ni moja ya nchi ambayo ni njozi ya kila mtu kufika pale, unakuta mtu anatukana sana wazungu na mbwembwe nyingine kama hizi lakini deep mind ni State.
Mzungu akimbiwi hata kama unamtukana au kumuona kashindwa vita ila siyo mjinga kwa kiasi kikubwa unachoweza kujisherehesha mbele ya watu.
Haya mengine is just show off as kila sekunde inayopita teknolojia inageuka papo kwa hapo. ¥
Umejibu kitu gani hiki wewe binti?Waislam hatuna hofu na Marekani au na Binaadam mwengine yeyote. Wala hatuna uadui na yeyote.
Tyapigana pale tunapopigwa tu. Inapokwisha vita tunawakaribisha waje kuona hasara ya vita tuliyoipata wote, na tunawakaribisha ndani ya Uislam.
In Shaa Allah wengi wanaongoka. Hao waliopigana Afghanistan na Taliban leo wengi ni Waislam huko huko Marekani. Jionee:
Uzeee unamuendea vibaya sana🤣🤣🤣 Faiza pumzika.
Naam kijana,Umejibu kitu gani hiki wewe binti?
Rudia kusoma nilichoandika basi, usiwe kama kauli hii, ulienda shule kufanya nini?.
Mbona unapopelekewa moto kitandani haugeuzi?Muislam ndugu yake ni Muislam, awe wa Afghanistan au Wamarekani, haijalishi. Waislam wa dunia nzima ni kama Kiwiliwili kimoja.
Muislam hawi na ugomvi na yeyote duniani, tunaruhusiwa kujihami na kurudishia tu tunapoanzwa. Haturuhusiwi kulianzisha.
Wewe siyo Muislam?
Taliban huko Kandahar Afghanistan wamefanya gwaride la aina ya kipekee duniani, haijawahi kutokea.
Gwaride la kijeshi ambalo. Limehusisha vifaa walivyoviteka tu.
Taliban walivamiwa na majeshi ya Marekani (USA) yakishirikisha majeshi ya nchi 30 za NATO.
Taliban hawakukubali, wakaingia vitani wakipigana na mataifa 30 yanayoaminika kuwa na nguvu kubwa za kivita duniani, yakiongozwa na Marekani, vita iliyodumu kwa miaka 20 mfululizo. Jionee gwaride la kiajabu 👇🏾
Pia kabla ya hiyo juu Kandahar walionesha vya mji mwengine unaoitwa Khost, jionee 👇🏾
Hahaha, wanavyotia hasira, wametinga mpaka nguo za jeshi la USA wslizoacha kwenye store zilizotekwa. Hawa jamaa si mchezo.
Kweli hivi ndiyo vidume kiboko ya USA.
Huwa najiuliza sana,acha Mungu aitwe Mungu, Hivi ingekuwaje endapo Mataifa ya Marekani, Russia, China,France,UK,Canada, Germany yangekuwa ni mataifa ya kiislamu?Hilo gwaride ndiyo sherehe rasmi ya ushindi wa Taliban toka August 2021 USA walipotoka nduki.
Baada ya hapo what next??Kufungwa Twafungwa ILA CHENGA TWA WALA😄😄!! Hizo silaha! Drones na mitambo mingine ya kivita wanayoonyesha hapa- vinahitaji spare /Services na vingine vina GPRS(wanajua vipo wapi kwa sasa) wanafurahia na wewe unafurahi ujui Na jamaa unaowashabikia awajui nini kinachokuja wakuta😂Hilo gwaride ndiyo sherehe rasmi ya ushindi wa Taliban toka August 2021 USA walipotoka nduki.
Hivyo ni vifaa vilivyotekwa, hawsjavinunuwa. Hawsna haja navyi kabisa ikiwa hawana vita.Baada ya hapo what next??Kufungwa Twafungwa ILA CHENGA TWA WALA😄😄!! Hizo silaha! Drones na mitambo mingine ya kivita wanayoonyesha hapa- vinahitaji spare /Services na vingine vina GPRS(wanajua vipo wapi kwa sasa) wanafurahia na wewe unafurahi ujui Na jamaa unaowashabikia awajui nini kinachokuja wakuta😂
Wale waislamu wanaojitoa mabomu ya Muhanga msikitini ..... Inakuwaje wanauwa ndugu zao Waislamu, haiwezekani mtu wa dini nyingine tofauti na uislamu ajilipue msikitini hakuna mafundisho hayo nje ya uislamu...Muislam ndugu yake ni Muislam, awe wa Afghanistan au Wamarekani, haijalishi. Waislam wa dunia nzima ni kama Kiwiliwili kimoja.
Muislam hawi na ugomvi na yeyote duniani, tunaruhusiwa kujihami na kurudishia tu tunapoanzwa. Haturuhusiwi kulianzisha.
Wewe siyo Muislam?