Osama bin Laden ndiye mtu aliyekuwa anatafutwa na USA kwa gharama yoyote, walipomuua Osama bin Laden hawakuwa na sababu ya kuendelea kutumia gharama. Taliban walikuwepo kabla na wameachwa waendelee na mambo yao, maadam Osama hayupo.
Northern Alliance ni Washirika wa Marekani, mwaka 2000 Taliban walipiga marufuku Kabisa kilimo hiko, 2001 Marekani alivyoingia madarakani akawaweka Waliokua waasi wa Taliban kama watawala ghafla biashara ikakua kuna kipindi marekani yupo hapo asilimia 94 ya Heroine yote Duniani ilitoka hapo,
sehemu zote zenye Unga duniani Marekani yupo, badala ya kuwalamu hao wakulima wa Afghan ama South America bora uwalaumu hao mapapa wanaohusika.
pia ufahamu mmea wa Coca ama poppy inayolimwa Afghanistan sio Unga, hio ni mimea kama mimea mingine unaweza ukatengeneza Kinywaji kama Coca-Cola, inakua unga baada ya huo mmea kuvunwa na kuingia maabara kumixiwa na madude mengine.
Hii Habari ya 2023 Taliban wakifyeka Mashamba ya poppy
Northern Alliance ni Washirika wa Marekani, mwaka 2000 Taliban walipiga marufuku Kabisa kilimo hiko, 2001 Marekani alivyoingia madarakani akawaweka Waliokua waasi wa Taliban kama watawala ghafla biashara ikakua kuna kipindi marekani yupo hapo asilimia 94 ya Heroine yote Duniani ilitoka hapo,
sehemu zote zenye Unga duniani Marekani yupo, badala ya kuwalamu hao wakulima wa Afghan ama South America bora uwalaumu hao mapapa wanaohusika.
pia ufahamu mmea wa Coca ama poppy inayolimwa Afghanistan sio Unga, hio ni mimea kama mimea mingine unaweza ukatengeneza Kinywaji kama Coca-Cola, inakua unga baada ya huo mmea kuvunwa na kuingia maabara kumixiwa na madude mengine.
Hii Habari ya 2023 Taliban wakifyeka Mashamba ya poppy
USA ni moja ya nchi ambayo ni njozi ya kila mtu kufika pale, unakuta mtu anatukana sana wazungu na mbwembwe nyingine kama hizi lakini deep mind ni State.
Mzungu akimbiwi hata kama unamtukana au kumuona kashindwa vita ila siyo mjinga kwa kiasi kikubwa unachoweza kujisherehesha mbele ya watu.
Haya mengine is just show off as kila sekunde inayopita teknolojia inageuka papo kwa hapo. ¥
General Knowledge. Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu. Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo...
Nimejibu ulichokiandika cha "ndoto za kukimbilia USA", kama unajifanya hujaelewa nilichokujibu kwanza, sasa nakujibu kivingine, kwa kukuuliza maswali kama ilivyo kawaida ya Watanzania, naamini umeelewa lakini hukuyapenda majibu. Sidhani kama u finyu kiasi cha kutokuelewa nilichokujibu kwanza. Tuanzie hapa:
Ndoto ndiyo uhalisia? Kumbuka hapa tunaongelea uhalisia siyo ndoto. Kuna ndoto za kila umri, mtu ambae anaweza kwend USA wakati wowowte anaoamua au aliyekwisha kwenda na hakupenda kuishi huko haweza kuwa na ndoto zako hizo kabisa. Binafsi nimeenda mara nyingi sana USA na sikupenda kabisa maisha ya huko, niliyapenda maisha ya Canada. Kwa kukujuza, kuna Watanzania wengi wanaoishi Canada waliokuwa na ndoto za kuishi USA, walivyoona tofauti ya maisha ya USA na Canada wakaamuwa wahamie Canada. Mambo ya ndoto si uhalisia. Kila mmoja wetu ana ndoto zake kutokana na maisha anayokulia, influence iliyomzunguka na yale nayojazwa nayo ujinga (brain washed)
Hiyo ndoto ilikuwepo hata kabla USA haijawa USA, au waliokuwepo USA leo wote ni kwao kwa asili huko?
Hapo Sasa!
Sasa nafafanuwa kidogo nilichokujibu mwanzo. Baadhi ya hao Wamarekani, waliokwenda kupigana Afghanistan, jinsi waliyoyakuta na kuyaona huko ikiwa pamoja na tabia nzuri za Kiislam za Wafghanistan, wameamuwa kuwa Waislam waliporudi USA.
Taliban huko Kandahar Afghanistan wamefanya gwaride la aina ya kipekee duniani, haijawahi kutokea.
Gwaride la kijeshi ambalo. Limehusisha vifaa walivyoviteka tu.
Taliban walivamiwa na majeshi ya Marekani (USA) yakishirikisha majeshi ya nchi 30 za NATO.
Taliban hawakukubali, wakaingia vitani wakipigana na mataifa 30 yanayoaminika kuwa na nguvu kubwa za kivita duniani, yakiongozwa na Marekani, vita iliyodumu kwa miaka 20 mfululizo. Jionee gwaride la kiajabu 👇🏾
Pia kabla ya hiyo juu Kandahar walionesha vya mji mwengine unaoitwa Khost, jionee 👇🏾
Hahaha, wanavyotia hasira, wametinga mpaka nguo za jeshi la USA wslizoacha kwenye store zilizotekwa. Hawa jamaa si mchezo.
Mbona vifaa vyenyewe hata 50 havifiki? Vinaweza kulinda hata mbagala tu? Wameachiwa tu kwa uzuzu wao scrapers hazina hata 5yrs ya matumizi na hata capacity ya kufanya cha maana lkn kwa zuzu Lazima ajitape hata akipata maji ya chupa carton moja anasahau ndani ya siku 2-3 yanaisha!
Huwa najiuliza sana,acha Mungu aitwe Mungu, Hivi ingekuwaje endapo Mataifa ya Marekani, Russia, China,France,UK,Canada, Germany yangekuwa ni mataifa ya kiislamu?
Yaani tungekosa hadi mahali pa kunyea na Dunia nzima ingewaka moto.
Nyie mtabaki hivyo hivyo na ujinga wenu,mtaishia kujilipua tu,ili mkifa muende mkaolewe na midume yenye mikuyenge Kama Punda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Baada ya hapo what next??Kufungwa Twafungwa ILA CHENGA TWA WALA😄😄!! Hizo silaha! Drones na mitambo mingine ya kivita wanayoonyesha hapa- vinahitaji spare /Services na vingine vina GPRS(wanajua vipo wapi kwa sasa) wanafurahia na wewe unafurahi ujui Na jamaa unaowashabikia awajui nini kinachokuja wakuta😂
Baada ya hapo what next??Kufungwa Twafungwa ILA CHENGA TWA WALA😄😄!! Hizo silaha! Drones na mitambo mingine ya kivita wanayoonyesha hapa- vinahitaji spare /Services na vingine vina GPRS(wanajua vipo wapi kwa sasa) wanafurahia na wewe unafurahi ujui Na jamaa unaowashabikia awajui nini kinachokuja wakuta😂
Hivyo ni vifaa vilivyotekwa, hawsjavinunuwa. Hawsna haja navyi kabisa ikiwa hawana vita.
.wa Afghanistan ni watu wa amani sana hawajawahi kuanzisha vita na taifa lolote la nje. Jiulize kwanini mataifa makubwa kama Uingereza, USSR na USA waliwahi kuwavamia na kutaka kuweka tawala zao?
Hilo ndilo swali la kujiuliza, siyo ya hizo silaha walizoziteka. Hizo hawana haja nazo kabisa. Wala hawana haja ya spare zake, za nini?
Hizo wemezitumia Kuonesha furaha yao ya ushindi. Kuwa wameziteka na hatimae kufanyia sherehe ya ushindi. Walikuwa wanapigana usiku na mchana kwa Miaka 20, wana kila haki na sababu ya kusherehekea ushindi wao. Walivamiwa bila sababu yoyote.
Miaka 20 ya vita maana yake. Kuna watoto wamezaliwa nchi iko vitani, mpaka wanakuwa wamekulia vitani na hatimae na wao wakaanza kupigana vita.
Vijana hao wana kila sababu sababu ya kusherejekea amani, wslikuws hawajuwi ni nini maana ya amami.
WaAfghanistan ni watu wema sana.
Wale waislamu wanaojitoa mabomu ya Muhanga msikitini ..... Inakuwaje wanauwa ndugu zao Waislamu, haiwezekani mtu wa dini nyingine tofauti na uislamu ajilipue msikitini hakuna mafundisho hayo nje ya uislamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.