Mpalestina11
Senior Member
- Oct 28, 2022
- 113
- 203
Still worshipping moon god blindly.....just as arabs used to .... (You have a moon symbol over each mosque ) you dont even want to study the hidden story behind the moon&star [emoji294][emoji287]Hakuna nchi ya kikafiri duniani, ukafiri wanafanya binaadam wanao mpinga Mwenyezi Mungu.
Mbona hata Waislam wengi sana wapo wanaopotea na kukufuru.
Ndiyo ulivyodanganywa?Still worshipping moon god blindly.....just as arabs used to .... (You have a moon symbol over each mosque ) you dont even want to study the hidden story behind the moon&star [emoji294][emoji287]
Muislamu ni mtu tu aliye tokea kumuanini Muhammad na ufunuo wake, hata kama Alikuwa mwongo means kapoteza wengi sana katika kweli....
Ulidanganywa ukadanyika.Wale waislamu wanaojitoa mabomu ya Muhanga msikitini ..... Inakuwaje wanauwa ndugu zao Waislamu, haiwezekani mtu wa dini nyingine tofauti na uislamu ajilipue msikitini hakuna mafundisho hayo nje ya uislamu...
Hawa ni kiwilikiwili au kimojakimoja???
Eti wazungu wanasema Taliban wameiba hivyo viaa! Wanashindwwa kusema vifaa vimetekwa:
Vifaa UsA waliviacha kwa serikali ya kiraia ya Afghan. Baada ya serikali kukimbia wakaviacha. Taliban wakavichukua.Taliban huko Kandahar Afghanistan wamefanya gwaride la aina ya kipekee duniani, haijawahi kutokea.
Gwaride la kijeshi ambalo. Limehusisha vifaa walivyoviteka tu.
Taliban walivamiwa na majeshi ya Marekani (USA) yakishirikisha majeshi ya nchi 30 za NATO.
Taliban hawakukubali, wakaingia vitani wakipigana na mataifa 30 yanayoaminika kuwa na nguvu kubwa za kivita duniani, yakiongozwa na Marekani, vita iliyodumu kwa miaka 20 mfululizo. Jionee gwaride la kiajabu [emoji1484]
Pia kabla ya hiyo juu Kandahar walionesha vya mji mwengine unaoitwa Khost, jionee [emoji1484]
Hahaha, wanavyotia hasira, wametinga mpaka nguo za jeshi la USA wslizoacha kwenye store zilizotekwa. Hawa jamaa si mchezo.
Kweli hivi ndiyo vidume kiboko ya USA.
Naona Kuna mazuzu wenzio wamekupga like. Kwamba Kuna Vita ilipiganwa Kati ya Taliban na USA na Taliban akashinda.Hilo gwaride ndiyo sherehe rasmi ya ushindi wa Taliban toka August 2021 USA walipotoka nduki.
Hizo fikra zako za kusomea ujinga. Wasikilize wenyewe USA wanasema nini.Ni sawasawa mtu aje kwako, mpiganie kwako avunje vunje vitu vyako na raia wako kufa; alafu mwisho wa siku unajisifia kwamba kaacha silaha zake alizokupiga nazo siku ameondoka....
By the way ingawa hizo pesa / gharama mwisho wa siku analipa mlipa kodi wa huko US lakini hapo ndio wajanja mtu kati wanakula pesa sababu budget ya hio project sio kidogo na huenda kibaraka atakayebaki hapo siku wakiondoka akarudisha gharama kwa nchi maradufu....
Like the saying goes; No one wins a War..., but different degrees of losses
Kwahio nani aliyeshinda na ameshinda nini ?Hizo fikra zako za kusomea ujinga. Wasikilize wenyewe USA wanasema nini.
Hivi ndivyo ushindi unavyoonekana:
Kweli kaka, msaidie huyo bibie.Hahahaha uko sahihi ila ukikaa nao karibu utagundua Wana depression kubwa snaa wanahitaji msaada wetu
Hahahaha vijana mnasikitisha sana, nashindwa kufanya hata research kidogo kujuwa kwanii Kwanza Uingereza, HalafuWarusi, halafu USA na NATO yote waitake Afghanistan kwa miaka 200 wawe tayari kwenda kuuwawa huko? Maana hakuna katika hao iliyeshinda na mabavu yao, wakiend wanatandikwa, hata hii mmara ya Mwisho waliungana nchi 30 za magharibi, kwa miaka 20 zikatandikwa.Kwahio nani aliyeshinda na ameshinda nini ?
Nchi kupigwa mabomu kwa faida ya hayo madude ?!!!
Unajuwa maana ya "depression" au unakurupuka tu?Hahahaha uko sahihi ila ukikaa nao karibu utagundua Wana depression kubwa snaa wanahitaji msaada wetu
Upo wromg kabisa. Kitu unachoshindwa kukielewa ni mafunzo ya Uislam.Katika watu wa kuwapuuzia kutokana na udini, basi ni huyu faiza. Namuonaga mpuuzi siku zote. Hatari sana wajinga kama hawa kushika madaraka makubwa ndani ya jamii na taifa.
Nakuzungumzia wewe sizungumzii nchi yoyote, una depression kubwa sana Rafiki.Unajuwa maana ya "depression" au unakurupuka tu?
Unajuwa tazama tu jinsi Uislam uavyokuwa duniani utapata jibu la swali lako. Makundi kwa makundi ya watu wahamie kwenye "depression"?
Afghanistan hoyee.
Hakuna wasiokuwa na "depression" duniani lakini ahueni iko wapi na kwannini? fanya tafiti japo ndogo tu ya mtandaoni, Hao Waislaam "depressed" umewaona wapi wewe?
Hapo ndipo mnapoumia roho zenu. Nskushauri ukiwa "depressed" Fata kama wanavosali Waislaam kila siku, uone matokeo. Au japo funga kama wanafunga Waislaam tu. Licha ya sadaka za zakat kama Waisla.
Nguzo zote za Kiislam utafikiri zimekuwa designed kuondolea binaadam "depression".
Kamuulize Ice Cube kanini aliacha mimali yote akaamuwa kuwa Muislam? Kama huyto hakutoshi, Tafuta Catrt Stevens ujuwe alikuwa nani na sasa ni nani na kwanini?
Huko usiguse, ntakushangaa wewe unangoja nini kuwa Muislam?