Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

Hakuna nchi ya kikafiri duniani, ukafiri wanafanya binaadam wanao mpinga Mwenyezi Mungu.

Mbona hata Waislam wengi sana wapo wanaopotea na kukufuru.
Still worshipping moon god blindly.....just as arabs used to .... (You have a moon symbol over each mosque ) you dont even want to study the hidden story behind the moon&star [emoji294][emoji287]
Muislamu ni mtu tu aliye tokea kumuanini Muhammad na ufunuo wake, hata kama Alikuwa mwongo means kapoteza wengi sana katika kweli....
 
Still worshipping moon god blindly.....just as arabs used to .... (You have a moon symbol over each mosque ) you dont even want to study the hidden story behind the moon&star [emoji294][emoji287]
Muislamu ni mtu tu aliye tokea kumuanini Muhammad na ufunuo wake, hata kama Alikuwa mwongo means kapoteza wengi sana katika kweli....
Ndiyo ulivyodanganywa?


Mada umeiona hapa?

Ukiwa na maswali au masuala yasihusina na hii mada, bofya chini hapo:

 
Wale waislamu wanaojitoa mabomu ya Muhanga msikitini ..... Inakuwaje wanauwa ndugu zao Waislamu, haiwezekani mtu wa dini nyingine tofauti na uislamu ajilipue msikitini hakuna mafundisho hayo nje ya uislamu...

Hawa ni kiwilikiwili au kimojakimoja???
Ulidanganywa ukadanyika.

Eid Mubarak from Afghanistan:

 
Mission ilikua kumueliminate Osama na kucontrol shughuli za Arkaida kwenye ukanda huo, kupitia hapo, so Osama is now more, Arkaida ndio vile kama ilijifia na waandamizi wake kuuliwa kama kuku, US Army akaamua kuondoka zake baada ya mission kukamilika leo mmatumbi anapanua domo lake kuwapongeza wataleban ambao hata hadi leo hawako well trained ajabu sana ,
 
Eti wazungu wanasema Taliban wameiba hivyo viaa! Wanashindwwa kusema vifaa vimetekwa:

 

Attachments

  • Screenshot_20230629_140416_Instagram.jpg
    Screenshot_20230629_140416_Instagram.jpg
    221.7 KB · Views: 4
Ni sawasawa mtu aje kwako, mpiganie kwako avunje vunje vitu vyako na raia wako kufa; alafu mwisho wa siku unajisifia kwamba kaacha silaha zake alizokupiga nazo siku ameondoka....

By the way ingawa hizo pesa / gharama mwisho wa siku analipa mlipa kodi wa huko US lakini hapo ndio wajanja mtu kati wanakula pesa sababu budget ya hio project sio kidogo na huenda kibaraka atakayebaki hapo siku wakiondoka akarudisha gharama kwa nchi maradufu....

Like the saying goes; No one wins a War..., but different degrees of losses
 
Taliban huko Kandahar Afghanistan wamefanya gwaride la aina ya kipekee duniani, haijawahi kutokea.

Gwaride la kijeshi ambalo. Limehusisha vifaa walivyoviteka tu.
Taliban walivamiwa na majeshi ya Marekani (USA) yakishirikisha majeshi ya nchi 30 za NATO.

Taliban hawakukubali, wakaingia vitani wakipigana na mataifa 30 yanayoaminika kuwa na nguvu kubwa za kivita duniani, yakiongozwa na Marekani, vita iliyodumu kwa miaka 20 mfululizo. Jionee gwaride la kiajabu [emoji1484]



Pia kabla ya hiyo juu Kandahar walionesha vya mji mwengine unaoitwa Khost, jionee [emoji1484]




Hahaha, wanavyotia hasira, wametinga mpaka nguo za jeshi la USA wslizoacha kwenye store zilizotekwa. Hawa jamaa si mchezo.

Kweli hivi ndiyo vidume kiboko ya USA.
Vifaa UsA waliviacha kwa serikali ya kiraia ya Afghan. Baada ya serikali kukimbia wakaviacha. Taliban wakavichukua.

Si kwamba Taliban walipigana na USA Basi USA akashindwa Vita akakimbia.

Marekani ilishajiondoa Afghanistan kitambo na kukabidhi kila kitu kwa serikali ya kiraia. Taliban iliondolewa MADARAKANI na Marekani.Hivi vifaa waliviacha kwa jeshi la Afghan.Wakati vinachukuliwa Marekani haikuwepo Tena ,ilishajiondoa.

Kusema Taliban wamepiga a Vita na USA Ni uongo wa mchana usiokusaidia ww na wanao nyumbani.zaidi wenye akili wanakuona tu Ni mtu useless uliyejawa na ushabiki wa dini usio na maana.

Ni kuweka records sawa tu.sababu hivi vi-dini vya mwarabu vinatufanya malimbukeni Sana.

Nakumbuka Kuna speech moja ya JK aliwahi kusema Ni kujidanganya na upumbavu kudhani kwamba Kuna mtu/kikundi Cha watu wanaoweza kuifuta DINI fulani isiwepo duniani.

Vijikitabu vya dini vinawadanganya Sana.

Ibadilishe familia yako iishi maisha mazuri kizazi hiki na kijacho,

Unatokea zako huko Newala kulima mhogo unakuja kuishi tandale kwa mtogole halafu unajiona na wewe Ni M-taliban.Ni akili ndogo. [emoji16][emoji16]

Kimsingi wewe Ni mtu usiye na tija ktk jamii. Una roho ya uharibifu!
 
Hilo gwaride ndiyo sherehe rasmi ya ushindi wa Taliban toka August 2021 USA walipotoka nduki.
Naona Kuna mazuzu wenzio wamekupga like. Kwamba Kuna Vita ilipiganwa Kati ya Taliban na USA na Taliban akashinda.
 
Halafu haka kamama unaweza kuta kako marekani kako huru kusagana na wanawake wenzie.

KAnakula pizza na Baga kwa kwenda mbele.

Hata ukikaambia karudi kwa Mpalange hakataki.

Kanaeneza udini kupitia kwenye keyboard.

Unaowaita makadirio ndiyo wenye maisha mazuri.na ww unainjoi nao pia.

Km vp hamia huko syria Basi ,ili tujue uko siriaz.
 
Ni sawasawa mtu aje kwako, mpiganie kwako avunje vunje vitu vyako na raia wako kufa; alafu mwisho wa siku unajisifia kwamba kaacha silaha zake alizokupiga nazo siku ameondoka....

By the way ingawa hizo pesa / gharama mwisho wa siku analipa mlipa kodi wa huko US lakini hapo ndio wajanja mtu kati wanakula pesa sababu budget ya hio project sio kidogo na huenda kibaraka atakayebaki hapo siku wakiondoka akarudisha gharama kwa nchi maradufu....

Like the saying goes; No one wins a War..., but different degrees of losses
Hizo fikra zako za kusomea ujinga. Wasikilize wenyewe USA wanasema nini.

Hivi ndivyo ushindi unavyoonekana:

 
Magaidi, ugaidi na hao wote mlioaminishwa ni maadui kupitia MEDIA na propaganda zote hizo ni njama tu za kijinga za kudanganya ulimwengu na hizo zote ni deals+projects za watu.

Hao wataliban pamoja na magenge yote yanayojulikana kupingana na USA mala nyingi huwa ni projects zao wenyewe wanazofanya zinazowapa faida za kisiasa, kiuchumi na kipropaganda.

Wazungu sio wajinga waondoke wawaachie siraha na kila aina ya dhana za kivita eti kisa kuwakimbia raia ambao wangeweza kuwasambaratisha kwa Fast jet moja isiyo na ruban[emoji23].

Huwa nashangaa sana kuona eti kakundi kadogo ka watu wanaosemekana ni magaidi ambayo hayawezi hata kuunda SMG zaidi ya kupora au kuhongwa na wafadhiri et wayasumbue mataifa yenye nguvu ambayo ndiyo wazalishaji wa siraha, mbinu za kivita, dhana za kukinga mashambulizi ya siraha za kivita, technolojia ya ndege hatari zinazokwenda kwa kasi zaidi ya kasi ya sauti na ufanisi mkubwa wa mashambulizi, matumizi ya siraha zisizozuilika kiurahisi na zenye kasi kubwa(hypersonic missile), matumizi ya Radar na satellite kudetect vifaa vya maadui na siraha zao, pia location za maadui.

Hayo yote yanawezekana kuwafuta hao wanaosemekana ni magaidi kwa muda mfupi tu kama wanavyofanya huko Ukraine wanakotuonesha ufanisi wa siraha zao.

Jiulize hizo siraha zitumikazo Ukraine ushawai ziona zikitumika kupambana na hawa tunaoaminishwa ni maadui wa USA ama wanaoitwa magaidi?[emoji23][emoji23].

Majibu mnayo ni kuwa ni ngumu kuwamaliza hawa tulioaminishwa ni wabaya maana waliundwa ama walitengenezwa kwa sababu maalum na kamwe hawatosambalatishwa labda wagawanywe tu lkn sio kuangamizwa kabisa.

Hizo ni projects za watu, hivyo vyovyote mlivyoaminishwa sivyo ilivyo

huwa tunasema ni ngumu kwa hii dunia ya sasa kupata unachokitaka bila kutumia Akili na mifumo danganyifu

Ukitaka kutawala ni lazima uwe na mifumo miwili ya kutawala 1)direct rule huu ndio mfumo wa utawala unaokubalika dunia nzima kutawala kwa sheria na taratibu za maeneo ya mipaka unayohusika nayo tu,

2)indirect rule hapa ndipo ulipo mfumo wa kutawala maeneo fulan nje ya mipaka yako kupitia migongo wa vibaraka+mifumo kandamizi, vikundi vya kigaidi na vikundi vinavyoaminika kupigana na serikali za nchi kwa kudai haki fulan nchin, au kuibuka kwa makundi ya kigaidi yanayojinyakulia maeneo nchini na kuanza kuunda makambi na tawala zao, huu nao ni mfumo wa utawala wa mataifa katika mataifa mengine, kwahiyo basi hata hao mlioaminishwa ni maadui wa taifa fulan ama magaidi fulan karibu wote ni hawa hawa waliundwa tu kucontrol maeneo na mikapaka ya nchi fulani fulan , huku ktk MEDIA tukiaminishwa kuna mizozo(WHICH IS NONSENSE).

soon mtayagundua haya pale hao wataleban watakapoanza kufuata swaga za USA kupambana na mahasimu wake huko mipakan kama vile IRAN, na tyr kilinuka, wao kuacha siraha hawakuwa wajinga, kukaa muda mrefu huko hawakuwa wajinga, walikuwa wakiyaimarisha hayo makundi kwa faida zao za baadae(muda huu).

HAYA MAMBO UTAYAGUNDUA TU UKIWA SI MSHABIKI WA SIASA WALA MTUMWA WA KIFIKRA.
 
Hizo fikra zako za kusomea ujinga. Wasikilize wenyewe USA wanasema nini.

Hivi ndivyo ushindi unavyoonekana:


Kwahio nani aliyeshinda na ameshinda nini ?

Nchi kupigwa mabomu kwa faida ya hayo madude ?!!! Kwamba familia zilizopigwa mabomu na wengine kuwa wakimbizi watapewa offer za kupanda hivyo vifaa;
 
Kwahio nani aliyeshinda na ameshinda nini ?

Nchi kupigwa mabomu kwa faida ya hayo madude ?!!!
Hahahaha vijana mnasikitisha sana, nashindwa kufanya hata research kidogo kujuwa kwanii Kwanza Uingereza, HalafuWarusi, halafu USA na NATO yote waitake Afghanistan kwa miaka 200 wawe tayari kwenda kuuwawa huko? Maana hakuna katika hao iliyeshinda na mabavu yao, wakiend wanatandikwa, hata hii mmara ya Mwisho waliungana nchi 30 za magharibi, kwa miaka 20 zikatandikwa.

Kushinda au kutokushindwa, si mimi au wewe wa kuamuwa, walioshindwa hawafichi wanakiri na wanalaumiana.

Walioshinda wanasherehekea kama uonavyo.


Mimi ntakupa muhimu za Afghanistan mmbili tu muhimu duniani, mengine katafute wewe, ukishindwa kupata sababu zingine nijulishe, ntakusaidia :

1) medicinal Plant muhimu sana duniani na ya kutengeneza madawa ya kipekee, bila hiyo huyapati, inapatikana kwa wingi na kwa urahisi duniani.
Kumbuka zao hili, pia lina ujuzi wake wa namna ya kulilima na hususan kulivuna, na waka na namna gani linavunwa. Ujuzi na kipaji hicho Allah aliwajaalia Afghanistan tu, kila anaejaribu hawazi kama hawa. Muujiza.

2) Waafghanistan ni 99.7% Waislam, wenye nguvu za kipekee duniani mpaka wanakuwa ni muujiza.



Taliban hoyee.
 
Hahahaha uko sahihi ila ukikaa nao karibu utagundua Wana depression kubwa snaa wanahitaji msaada wetu
Unajuwa maana ya "depression" au unakurupuka tu?


Unajuwa tazama tu jinsi Uislam uavyokuwa duniani utapata jibu la swali lako. Makundi kwa makundi ya watu wahamie kwenye "depression"?

Afghanistan hoyee.

Hakuna wasiokuwa na "depression" duniani lakini ahueni iko wapi na kwannini? fanya tafiti japo ndogo tu ya mtandaoni, Hao Waislaam "depressed" umewaona wapi wewe?


Hapo ndipo mnapoumia roho zenu. Nskushauri ukiwa "depressed" Fata kama wanavosali Waislaam kila siku, uone matokeo. Au japo funga kama wanafunga Waislaam tu. Licha ya sadaka za zakat kama Waisla.

Nguzo zote za Kiislam utafikiri zimekuwa designed kuondolea binaadam "depression".

Kamuulize Ice Cube kanini aliacha mimali yote akaamuwa kuwa Muislam? Kama huyto hakutoshi, Tafuta Catrt Stevens ujuwe alikuwa nani na sasa ni nani na kwanini?

Huko usiguse, ntakushangaa wewe unangoja nini kuwa Muislam?
 
Katika watu wa kuwapuuzia kutokana na udini, basi ni huyu faiza. Namuonaga mpuuzi siku zote. Hatari sana wajinga kama hawa kushika madaraka makubwa ndani ya jamii na taifa.
Upo wromg kabisa. Kitu unachoshindwa kukielewa ni mafunzo ya Uislam.


Waulize Waislam wanaposema Muislam ndugu yake Muislam wanamaanisha nini?

Au muulize Nyerere, alipata api mafunzo ya kusema Watanzania tusiitane,Mr., boss, tuitane "ndugu".

Afghanistan Hoyee.
 
Unajuwa maana ya "depression" au unakurupuka tu?


Unajuwa tazama tu jinsi Uislam uavyokuwa duniani utapata jibu la swali lako. Makundi kwa makundi ya watu wahamie kwenye "depression"?

Afghanistan hoyee.

Hakuna wasiokuwa na "depression" duniani lakini ahueni iko wapi na kwannini? fanya tafiti japo ndogo tu ya mtandaoni, Hao Waislaam "depressed" umewaona wapi wewe?


Hapo ndipo mnapoumia roho zenu. Nskushauri ukiwa "depressed" Fata kama wanavosali Waislaam kila siku, uone matokeo. Au japo funga kama wanafunga Waislaam tu. Licha ya sadaka za zakat kama Waisla.

Nguzo zote za Kiislam utafikiri zimekuwa designed kuondolea binaadam "depression".

Kamuulize Ice Cube kanini aliacha mimali yote akaamuwa kuwa Muislam? Kama huyto hakutoshi, Tafuta Catrt Stevens ujuwe alikuwa nani na sasa ni nani na kwanini?

Huko usiguse, ntakushangaa wewe unangoja nini kuwa Muislam?
Nakuzungumzia wewe sizungumzii nchi yoyote, una depression kubwa sana Rafiki.

Ukiona Kila mara MTU anazungumzia au Kila kitu anajitambulisha Kwa social status yake ujue ana tatizo!

Wewe ni mtanzania Wala sio Msaudi, hizo ni Dini za watu, wewe ni muabudu sanamu na miti na mawe tu. Acha ushabiki maandazi
 
Back
Top Bottom