Kwahio nani aliyeshinda na ameshinda nini ?
Nchi kupigwa mabomu kwa faida ya hayo madude ?!!!
Hahahaha vijana mnasikitisha sana, nashindwa kufanya hata research kidogo kujuwa kwanii Kwanza Uingereza, HalafuWarusi, halafu USA na NATO yote waitake Afghanistan kwa miaka 200 wawe tayari kwenda kuuwawa huko? Maana hakuna katika hao iliyeshinda na mabavu yao, wakiend wanatandikwa, hata hii mmara ya Mwisho waliungana nchi 30 za magharibi, kwa miaka 20 zikatandikwa.
Kushinda au kutokushindwa, si mimi au wewe wa kuamuwa, walioshindwa hawafichi wanakiri na wanalaumiana.
Walioshinda wanasherehekea kama uonavyo.
Mimi ntakupa muhimu za Afghanistan mmbili tu muhimu duniani, mengine katafute wewe, ukishindwa kupata sababu zingine nijulishe, ntakusaidia :
1) medicinal Plant muhimu sana duniani na ya kutengeneza madawa ya kipekee, bila hiyo huyapati, inapatikana kwa wingi na kwa urahisi duniani.
Kumbuka zao hili, pia lina ujuzi wake wa namna ya kulilima na hususan kulivuna, na waka na namna gani linavunwa. Ujuzi na kipaji hicho Allah aliwajaalia Afghanistan tu, kila anaejaribu hawazi kama hawa. Muujiza.
2) Waafghanistan ni 99.7% Waislam, wenye nguvu za kipekee duniani mpaka wanakuwa ni muujiza.
Taliban hoyee.