Taliban: Tupo tayari kushirikiana na nchi zote duniani isipokuwa Israel

Waarabu wa jf hawawezi kuelewa hili
 
Hii takataka uliyokuja kuimwagia hapa,siku nyingine imwagie kwenu huko ili kupunguza kuonekana wewe ni hamnazo,unaandika kishabiki bila kutumia akili,hapa hatujadili ligi ya Uingereza,

Vp hapo California maisha yanaendaje?
 
Acha kuwatetea
Na Cambodia na Vietnam walijenga Pipe pia?

US wanachojua ni kushambulia kwa njia ya Anga, mkiwamudu huko Ardhini ni wepesi sana
Hapa Tunaongelea Afghanistan. Haya niambie kama kuiba alikuwa 20years pale. Sasa akae now apate nini hasa. Akishamaliza alichokipata a naondoka. We unadhani hiyo 20 years aliyokaa hapo alikiw kaishika mtutu mda wote. Alikuwa na deals zake kamaliza a nasepa. Then same way anavyopunguza wajeda Iraq kama bado hajamaliza wote ashapata anachokitaka. Vietnam ndo vita ambayo USA akilishindwa. We mtu kakaa kwenye nchi yako miaka 20 we umetuliza pumbu then kaondoka basi eti wajiona umeshinda mechi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jua kuwa ashafanya yake kamaliza. Kasepa.
 
Uzuri wa Israel yeye anaendelea na Maisha yake vizuri... so Taleban wanajitekenya tu wenyewe kisha wanacheka... imagine Nchi ipo hoi and then unajimwmbafai sitaki urafiki na nchi yenye watu wenye akili sana nipo radhi kuwa na urafiki na wajinga na wapumbavu... so Taleban wanaonesha bado wana ujinga akilini kama zamani tu
 
Kati ya taleban waliokomboa nchi yao kutoka kwa vibaraka wa kikafiri NA israel iliyovamia ardhi ya wapalestina na ictoshe wanauwa, je, ni nani hapo gaidi???? Ongea tu ukweli!
Hivi toka lini Israel ikaivamia ardhi yake pale ni Israel imerudi kwenye ardhi za mababu zake mpalestina ni ametokea Jordan na misri ndio kwao
 
Hivi toka lini Israel ikaivamia ardhi yake pale ni Israel imerudi kwenye ardhi za mababu zake mpalestina ni ametokea Jordan na misri ndio kwao

Kweli wewe ndio paschal usiejuwa wanachokiamini miyahudi yako.

Unaukubali ukristo, ilihali wayahudi hawaukubali,,,,,

Unamkubali yesu, ilihali wao wanamkana yesu,,,,,,


Aibu yenu wagalatia👆🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…