Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Hivi toka lini Israel ikaivamia ardhi yake pale ni Israel imerudi kwenye ardhi za mababu zake mpalestina ni ametokea Jordan na misri ndio kwao
Hujui historia ya wapalestina babaa,,, kwa taarifa yako waisraeli ni wavamizi pale,,, ardhi yenyewe inawasuta. Mfano waje Tanzania wachukuwe kanda ya ziwa wajimirikishe na wadai ardhi ni yao kihalali, utajickiaje mzehe!!!!! Kiukweli wengi wenu munawachukia sana sana waarabu na huu ndio ukweli wenyewe enyi wagalatia na sababu za msingi hamuna,,, na uisilamu munaupiga vita kwelikweli. Lakini mwisho wa cku munaishia kugonga mwamba. Uisilamu utaendelea kuwepo, na watu wanaendelea kusilimu cku hadi cku, duniani kote.