Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumekucha kabla Iran kuvamia Israel ,Taleban wamewahi kwa kuvamia IranIran ipo kwenye wakati mgumu baada ya jeshi la Taliban kuvamia na kuteka eneo
Nia ya Taliban Ni kufika Tehran , kwa siku moja
Marekani aliondokaga kule nyumbani kwa talibani kwa upendo za chini ya kapet eti kuna mikataba..Kumekucha kabla Iran kuvamia Israel ,Taleban wamewahi kwa kuvamia Iran
Chanzo cha taarifa yako!?
Iran ipo kwenye wakati mgumu baada ya jeshi la Taliban kuvamia na kuteka eneo
Nia ya Taliban Ni kufika Tehran , kwa siku moja
Kuna mbung'o zinaamini eti Us atashushwa na Russia na China.Marekan aliondoka kwa makubaliano na Taliban na ndio maana mpaka ndege ya mwisho inaondoka Kabul inapigiwa makofi na Taliban, sasa US wameona kiherehere cha Iran na drones zake russia wameona isiwe shida wacha waiweke Tehran busy, huku Russia na Zele, kule China na Taiwan, Huku Iran na Teleban baba yeye anarudi kwenye nafasi yake ile ile ya vita ya pili kutoa silaha na chakula kwa mikopo baadae alipwe double lini atashuka kwenye nafasi ya u super power na anatumia akili
Kuna mbung'o zinaamini eti Us atashushwa na Russia na China.