Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

Uislam na uslamu wa talibani Huwa unakandamiza sana wanawake

Wapo kwajili Moja tu ,nikubabuliwa tuu
 
Wewe ukiona nywele au kichwa wazi tu cha mwanamke unaweza kuanza kumtamani kingono??
Basi utakuwa na matatizo.
Haya mambo yana hekima kubwa,kwahiyo kwa uelewa wako wanafunika kichwa kwa ajili ya matamanio tu?
 
Dini ya kiislamu haikuanzishwa ni wanaharakati wala vyombo vya habari wala nchi za magharibi, dini ya kiislamu imetoka kwa Mwenyezi Mungu mwenyewe aliyetuumba na miongozo yake ipo katika Quran, Taliban wanafuata miongozo ya Quran kumlinda mwanamke na vishawishi mbali mbali ambavyo mwenyewe mwanamke atakuwa na thamani zaidi kuliko wanawake wengi ambao huji-expose miili yao na kukaa uchi na kusababisha madhara mbali mbali duniani, kama kuenea kwa maradhi na magonjwa ya zinaa kama ukahaba na umalaya. Mwanamke mwili wake wote unatakiwa uwe kwenye stara. mila za wazungu waachiwe wenyewe wao hawana dini.

Haki za mwanamke zipo wazi katika uislamu tokea dini ya kiislam, Wale wasio na dini ndio hueka makongamano na kutunga haki za mwanamke upya kila wanapoona katika maslahi yao binafsi wanayotaka wao, Waislamu hawana haja kwenda Beijing kupata haki za Mwanamke Quran inatosha.

Sio kila uhuru utamnufaisha mwanadamu kwa maisha ya baadae. Uhuru una mipaka yake kwa kila mtu
Hakuna dini hapo bwana huo ni utamaduni wa kiarabu ndio mnadanganywa eti ni dini na wajinga mnakubali kuacha utamaduni wenu na kufuata wa waarabu. Bure kabisa.
 
Kwahiyo mwanamke kuvaa kwa stara ndio kumtesa,mbona makanisani hawaendi na chupi huko?
Kanisa gani wanawake hawaendi wakiwa wamevaa chupi si mimi nasikia kwamba wanawake wanaoenda msikitini ndio hawavai chupi ❗❗❗
 
Maana haikuwa hiyo nilimaanisha hawaendi na nguo yoyote isipokuwa chupi tu

Khs kusikia kwa waislamu hawavai chupi wakienda msikitini umesikia kwa nani
 
Huku kwetu wanawake ni rukhsa kutembea uchi. Pamoja na wanadamu kupewa akili,bado wengi wetu tunaishi kama wanyama.
 
Hakuna dini hapo bwana huo ni utamaduni wa kiarabu ndio mnadanganywa eti ni dini na wajinga mnakubali kuacha utamaduni wenu na kufuata wa waarabu. Bure kabisa.
Na wewe si unafuata utamaduni huo huo wa kirabu? ama utaacha ukiristo kwa sababu dini ya kikiristo asili yake ni Middle East? yesu alitokea Mashariki ya kati nchi za waarabu kwanini bado na wewe uko upande huo huo?

Mama maryam alimzaa yesu akiwa mashariki ya kati nchi za waarabu, na hata picha ya yesu na mama maryam mulizonazo huko makanisani zote zinaonyesha mavazi ya kiarabu, kwa nini unafuata waarabu?
 
Kwanza fahamu kwamba mtu asiye muislam sio lazima awe mkristo. Pili fahamu kwamba hizo nguo ndizo zilizokuwa zinavaliwa enzi hizo kwa sababu hakukuwepo na suruali wala gauni sasa kusema kwamba ni mavazi ya kiarabu ni kukosa uelewa tu na kukariri mambo.
 
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma.

Taliban wanasema sheria hizi ni kwa ajili ya kuzuia na kudhibiti vitendo vya tamaa na vishawishwi vibaya katika jamii ya nchi hiyo. Hata hivyo wanaharakati na viongozi sehemu mbalimbali duniani wamelaani vikali sheria hizo mpya za Taliban zitakazoanza kutumika mwezi huu.

View attachment 3084102
Hatari kweli kweli hao wakereketwa
 
Dini ya kiislamu haikuanzishwa ni wanaharakati wala vyombo vya habari wala nchi za magharibi, dini ya kiislamu imetoka kwa Mwenyezi Mungu mwenyewe aliyetuumba na miongozo yake ipo katika Quran, Taliban wanafuata miongozo ya Quran kumlinda mwanamke na vishawishi mbali mbali ambavyo mwenyewe mwanamke atakuwa na thamani zaidi kuliko wanawake wengi ambao huji-expose miili yao na kukaa uchi na kusababisha madhara mbali mbali duniani, kama kuenea kwa maradhi na magonjwa ya zinaa kama ukahaba na umalaya. Mwanamke mwili wake wote unatakiwa uwe kwenye stara. mila za wazungu waachiwe wenyewe wao hawana dini.

Haki za mwanamke zipo wazi katika uislamu tokea dini ya kiislam, Wale wasio na dini ndio hueka makongamano na kutunga haki za mwanamke upya kila wanapoona katika maslahi yao binafsi wanayotaka wao, Waislamu hawana haja kwenda Beijing kupata haki za Mwanamke Quran inatosha.

Sio kila uhuru utamnufaisha mwanadamu kwa maisha ya baadae. Uhuru una mipaka yake kwa kila mtu
Wewe Sheria za huko Afghanistan utaziweza ukienda huko?
 
Huku kwetu wanawake ni rukhsa kutembea uchi. Pamoja na wanadamu kupewa akili,bado wengi wetu tunaishi kama wanyama.
Wanawake gani wanatembea uchi na mbona hawajapelekwa Mirembe. Kama kuvaa nguo kwa wanawake ni kuvaa niqab kama waarabu wanavyovaa basi ngoja wanawake wetu watembee uchi.

Mwanamke hakuumbwa kuvaa kiajabu hivyo na ndio maana hata serikali haiwezi kuleta mambo hayo ya kipuuzi ya kuingilia uhuru wa mavazi ya watu kila watu na utamaduni wao na sisi sio waarabu.

Wewe kama unataka si uende uishi uarabuni, Iran au Afghanistan, nani kakupigilia misumari hapa.
 
Wewe Sheria za huko Afghanistan utaziweza ukienda huko?
Sheria si za Afghanistan elewa, hizo ni sheria za kiislam ambazo nchi zote zenye dola ya kiislam huna namna lazima zifuatwe, ndio maana mimi sijachukia wanawake wa kiislam kujisitiri na napongeza sana wenzetu wanatekeleza kwa vitendo hawababaishwi na mila na tamaduni za kimagharibi.
 
Niwacheni nakuka darsa la wasiooneka kutoka kwa Arsis. Unamjuwa Arsis wewe? Njoo muulize kuhusu Taliban, huku:

View: https://vm.tiktok.com/ZMrKWpDnX/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok Lite - Save Data - Apps on Google Play
 
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma.

Taliban wanasema sheria hizi ni kwa ajili ya kuzuia na kudhibiti vitendo vya tamaa na vishawishwi vibaya katika jamii ya nchi hiyo. Hata hivyo wanaharakati na viongozi sehemu mbalimbali duniani wamelaani vikali sheria hizo mpya za Taliban zitakazoanza kutumika mwezi huu.

View attachment 3084102
At least wameheoukana na upuuzi wa kuongoza na mwanamke, I'm not appraising male chauvinism but our president is an alive illustration why countries should never dare entrust a woman with a leadership seat.
 
Back
Top Bottom