kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Uislam na uslamu wa talibani Huwa unakandamiza sana wanawake
Wapo kwajili Moja tu ,nikubabuliwa tuu
Wapo kwajili Moja tu ,nikubabuliwa tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo yana hekima kubwa,kwahiyo kwa uelewa wako wanafunika kichwa kwa ajili ya matamanio tu?Wewe ukiona nywele au kichwa wazi tu cha mwanamke unaweza kuanza kumtamani kingono??
Basi utakuwa na matatizo.
What a https://jamii.app/JFUserGuide! Acha zinaaDo support this?
How does one get a side chick in Afghanistan?
Ili ulete ubishi wa kijinga auKwa ajili ya nini kingine??
Hakuna dini hapo bwana huo ni utamaduni wa kiarabu ndio mnadanganywa eti ni dini na wajinga mnakubali kuacha utamaduni wenu na kufuata wa waarabu. Bure kabisa.Dini ya kiislamu haikuanzishwa ni wanaharakati wala vyombo vya habari wala nchi za magharibi, dini ya kiislamu imetoka kwa Mwenyezi Mungu mwenyewe aliyetuumba na miongozo yake ipo katika Quran, Taliban wanafuata miongozo ya Quran kumlinda mwanamke na vishawishi mbali mbali ambavyo mwenyewe mwanamke atakuwa na thamani zaidi kuliko wanawake wengi ambao huji-expose miili yao na kukaa uchi na kusababisha madhara mbali mbali duniani, kama kuenea kwa maradhi na magonjwa ya zinaa kama ukahaba na umalaya. Mwanamke mwili wake wote unatakiwa uwe kwenye stara. mila za wazungu waachiwe wenyewe wao hawana dini.
Haki za mwanamke zipo wazi katika uislamu tokea dini ya kiislam, Wale wasio na dini ndio hueka makongamano na kutunga haki za mwanamke upya kila wanapoona katika maslahi yao binafsi wanayotaka wao, Waislamu hawana haja kwenda Beijing kupata haki za Mwanamke Quran inatosha.
Sio kila uhuru utamnufaisha mwanadamu kwa maisha ya baadae. Uhuru una mipaka yake kwa kila mtu
Kanisa gani wanawake hawaendi wakiwa wamevaa chupi si mimi nasikia kwamba wanawake wanaoenda msikitini ndio hawavai chupi ❗❗❗Kwahiyo mwanamke kuvaa kwa stara ndio kumtesa,mbona makanisani hawaendi na chupi huko?
Maana haikuwa hiyo nilimaanisha hawaendi na nguo yoyote isipokuwa chupi tuKanisa gani wanawake hawaendi wakiwa wamevaa chupi si mimi nasikia kwamba wanawake wanaoenda msikitini ndio hawavai chupi ❗❗❗
Na wewe si unafuata utamaduni huo huo wa kirabu? ama utaacha ukiristo kwa sababu dini ya kikiristo asili yake ni Middle East? yesu alitokea Mashariki ya kati nchi za waarabu kwanini bado na wewe uko upande huo huo?Hakuna dini hapo bwana huo ni utamaduni wa kiarabu ndio mnadanganywa eti ni dini na wajinga mnakubali kuacha utamaduni wenu na kufuata wa waarabu. Bure kabisa.
Kwanza fahamu kwamba mtu asiye muislam sio lazima awe mkristo. Pili fahamu kwamba hizo nguo ndizo zilizokuwa zinavaliwa enzi hizo kwa sababu hakukuwepo na suruali wala gauni sasa kusema kwamba ni mavazi ya kiarabu ni kukosa uelewa tu na kukariri mambo.Na wewe si unafuata utamaduni huo huo wa kirabu? ama utaacha ukiristo kwa sababu dini ya kikiristo asili yake ni Middle East? yesu alitokea Mashariki ya kati nchi za waarabu kwanini bado na wewe uko upande huo huo?
Mama maryam alimzaa yesu akiwa mashariki ya kati nchi za waarabu, na hata picha ya yesu na mama maryam mulizonazo huko makanisani zote zinaonyesha mavazi ya kiarabu, kwa nini unafuata waarabu?
Hatari kweli kweli hao wakereketwaUtawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma.
Taliban wanasema sheria hizi ni kwa ajili ya kuzuia na kudhibiti vitendo vya tamaa na vishawishwi vibaya katika jamii ya nchi hiyo. Hata hivyo wanaharakati na viongozi sehemu mbalimbali duniani wamelaani vikali sheria hizo mpya za Taliban zitakazoanza kutumika mwezi huu.
View attachment 3084102
Wewe Sheria za huko Afghanistan utaziweza ukienda huko?Dini ya kiislamu haikuanzishwa ni wanaharakati wala vyombo vya habari wala nchi za magharibi, dini ya kiislamu imetoka kwa Mwenyezi Mungu mwenyewe aliyetuumba na miongozo yake ipo katika Quran, Taliban wanafuata miongozo ya Quran kumlinda mwanamke na vishawishi mbali mbali ambavyo mwenyewe mwanamke atakuwa na thamani zaidi kuliko wanawake wengi ambao huji-expose miili yao na kukaa uchi na kusababisha madhara mbali mbali duniani, kama kuenea kwa maradhi na magonjwa ya zinaa kama ukahaba na umalaya. Mwanamke mwili wake wote unatakiwa uwe kwenye stara. mila za wazungu waachiwe wenyewe wao hawana dini.
Haki za mwanamke zipo wazi katika uislamu tokea dini ya kiislam, Wale wasio na dini ndio hueka makongamano na kutunga haki za mwanamke upya kila wanapoona katika maslahi yao binafsi wanayotaka wao, Waislamu hawana haja kwenda Beijing kupata haki za Mwanamke Quran inatosha.
Sio kila uhuru utamnufaisha mwanadamu kwa maisha ya baadae. Uhuru una mipaka yake kwa kila mtu
Wanawake gani wanatembea uchi na mbona hawajapelekwa Mirembe. Kama kuvaa nguo kwa wanawake ni kuvaa niqab kama waarabu wanavyovaa basi ngoja wanawake wetu watembee uchi.Huku kwetu wanawake ni rukhsa kutembea uchi. Pamoja na wanadamu kupewa akili,bado wengi wetu tunaishi kama wanyama.
Sheria si za Afghanistan elewa, hizo ni sheria za kiislam ambazo nchi zote zenye dola ya kiislam huna namna lazima zifuatwe, ndio maana mimi sijachukia wanawake wa kiislam kujisitiri na napongeza sana wenzetu wanatekeleza kwa vitendo hawababaishwi na mila na tamaduni za kimagharibi.Wewe Sheria za huko Afghanistan utaziweza ukienda huko?
Niwacheni nakuka darsa la wasiooneka kutoka kwa Arsis. Unamjuwa Arsis wewe? Njoo muulize kuhusu Taliban, huku:
Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 1 Ilikuwa ni siku chache kabla sijatimiza miaka 18. Nilipelekwa Tanga, kijiji kimoja kipo karibu sana na mpaka wa kwenda Kenya. Kabla ya kuingia huko kijijini ndani kuna ki mji kinaitwa Duga. Ilikua sio mara yangu ya kwanza kupelekwa huko kwa mambo ya...www.jamiiforums.com
At least wameheoukana na upuuzi wa kuongoza na mwanamke, I'm not appraising male chauvinism but our president is an alive illustration why countries should never dare entrust a woman with a leadership seat.Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma.
Taliban wanasema sheria hizi ni kwa ajili ya kuzuia na kudhibiti vitendo vya tamaa na vishawishwi vibaya katika jamii ya nchi hiyo. Hata hivyo wanaharakati na viongozi sehemu mbalimbali duniani wamelaani vikali sheria hizo mpya za Taliban zitakazoanza kutumika mwezi huu.
View attachment 3084102