Tamaa zinaenda kunipa mtoto wa tatu

Tamaa zinaenda kunipa mtoto wa tatu

Nimeshangaa na kustaajabu[emoji848][emoji848]

Yaan hata wanaume waliokomenti hakuna aliyetoa hili wazo[emoji848]
Humu kuna wavulana na wanaume angalia wanaume walichoshauri .mbalizi na tate achana na vivulana ..ajabu mwanamke anapigilia msumari ..hajui kuna age mwananke anataman kuwa na mtoto ..hii ni kawaida sana! Dah ..shame
 
Umenistaajabisha .kweli wanawake hatupendani ...ila uko na shida wewe
Bora ulie na akili timamu....angalau tumepata mtakatifu mwanamke Dunia....hii comment ya pili unaongea negative Abt me ..sijawahi jibishana vibaya na mtu humu....nahisi unanifunza kitu cute
 
Humu kuna wavulana na wanaume angalia wanaume walichoshauri .mbalizi na tate achana na vivulana ..ajabu mwanamke anapigilia msumari ..hajui kuna age mwananke anataman kuwa na mtoto ..hii ni kawaida sana! Dah ..shame
Oo sor, sikujua kama una shida na mtoto...Hata Ivo sikuwa najibu post Yako au comment yako....Hata kupita ungepita tu ingefaa sana
 
Mbona huyo ndiyo mtoto wa kwanza na hapo juu umeandika mtoto wa tatu, au nimekosea?
 
Pole Sana mkuu,
Humu Jf Ni kisima Cha maarifa
Nna iman utashauriwa vzr
Mi mwnyw najilinda sn nisipate mtt wa nje Maana kila Mchepuko Wangu unataka tuzae nakwepa
 
Aseeh, yaani ni hatari kwanza kila kitu kilikua kushoto kuanzia mwanzo.

1: Mwanamke alikutongoza.[emoji777]
2: Ukamtumia mwanamke nauli.[emoji777]
3: Kufanya ngono bila kinga huku ukiwa huna uhitaji wa mtoto.[emoji777]

Kifupi huyo Mwanamke kacheza na akili yako, kubali kuingia gharama za kupima DNA nje ya nchi (Kenya or South Africa) ili kuepuka kulea mtoto asiekua wako.

Kumbuka:
"Mwanaume anaekimbia majukumu ya mtoto ni mpumbavu, lakini Mwanaume aleae mtoto asie wake ni mpumbavu×100".
 
Naenda kupata mtoto wa tatu na mwanamke ambaye sikuwahi fikiri nitazaa naye!

Ipo hivi mwaka jana katika safari zangu za biashara nilijikuta nalala hotel moja Mbeya , sababu ya kulala hapo ni ubora wa
Pole Sana mkuu, nayajua hayo unayopitia, kiufupi kuzaa na mwanamke ambae hukupanga kumuoa ni shida
 
Back
Top Bottom