Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Humu kuna wavulana na wanaume angalia wanaume walichoshauri .mbalizi na tate achana na vivulana ..ajabu mwanamke anapigilia msumari ..hajui kuna age mwananke anataman kuwa na mtoto ..hii ni kawaida sana! Dah ..shameNimeshangaa na kustaajabu[emoji848][emoji848]
Yaan hata wanaume waliokomenti hakuna aliyetoa hili wazo[emoji848]