Tamaduni 10 za kidini ambazo hazimo kwenye Biblia au Quran

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Hizi hazimo kwenye Biblia.
1: Sikukuu za Krismass na Easter.

2: Kunena kwa Lugha ambazo mnenaji na wasikilizaji wote hawaelewani.

3: Maombezi kwa maiti ili isamehewe dhambi alizofanya akiwa hai.

4: Sabato ya Jumapili.

5: Mchungaji au askofu wa kike. Katika biblia mchungaji ni Mume wa mke mmoja sio mke wa Mume mmoja.

HAYAMO KWENYE QURAN

1: Ishmail kuwa Bora kuliko Isaka.

2: Waislam Kufanya miujiza wakati mtume hakuwahi kufanya muujiza wowote ndani ya quran.

3:Kuvaa suruali ambazo hazifiki chini.
Zile Suruali fupifupi.

4: Wanawake na wanaume kuchangamana wakati wa ibada ya hijja kwenye kaaba (ibada ya heshima kabisa) wakati huku misikitini hawachangamani.

5: Wanawake kuwa maimam na kuongoza ibada zanye mchanganyiko wa jinsia zote.

Nini maoni yako.
 
Yesu hakuzaliwa tarehe 25 mwezi wa 12. Tarehe hiyo ilikua sikukuu ya warumi. Jmapili ni siku ya bwana, nayo ni kusanyiko takatifu. Hivyo hoja yako wewe msabato haina mashiko.
Karibu kwa maoni zaidi.
 
Jampili nayo imeagizwa kukusanyika rejea kutoka 12:16. Hivyo kuifanya siku ya kwanza kuwa siku yakuabudu na kutofanya kazi ni sahihi. Mwanamke kuongoza ibada, mavazi ya suruali fupi kwa wanaume na mavazi ya kanzu ni tamaduni zilizorithiwa kutoka kwa waasisi wa hizo Imani.
 
Hizi hazimo kwenye Biblia.
1: Sikukuu za Krismass na Easter.

2: Kunena kwa Lugha ambazo mnenaji na wasikilizaji wote hawaelewani.

3: Maombezi kwa maiti ili isamehewe dhambi alizofanya akiwa hai.

4: Sabato ya Jumapili.

5: Mchungaji au askofu wa kike. Katika biblia mchungaji ni Mume wa mke mmoja sio mke wa Mume mmoja.

HAYAMO KWENYE QURAN

1: Ishmail kuwa Bora kuliko Isaka.

2: Waislam Kufanya miujiza wakati mtume hakuwahi kufanya muujiza wowote ndani ya quran.

3:Kuvaa suruali ambazo hazifiki chini.
Zile Suruali fupifupi.

4: Wanawake na wanaume kuchangamana wakati wa ibada ya hijja kwenye kaaba (ibada ya heshima kabisa) wakati huku misikitini hawachangamani.

5: Wanawake kuwa maimam na kuongoza ibada zanye mchanganyiko wa jinsia zote.

Nini maoni yako.
Elimu yako wewe bado uisilamu unatakiwa wausemee wasomi kosa lako liko hapo nambar 3
 
Mchungaji au askofu wa kike, bible iliandikwa na watu waliokuwa na ubaguzi. Mungu wa kweli anahubiriwa na jinsia zote mbili. Kwa Mungu wa kweli binadamu wote ni sawa.
 
Jampili nayo imeagizwa kukusanyika rejea kutoka 12:16. Hivyo kuifanya siku ya kwanza kuwa siku yakuabudu na kutofanya kazi ni sahihi. Mwanamke kuongoza ibada, mavazi ya suruali fupi kwa wanaume na mavazi ya kanzu ni tamaduni zilizorithiwa kutoka kwa waasisi wa hizo Imani.
Kutoka 12:16
Siku ya kwanza kutakuwa kwenu na kusanyiko takatifu, na siku ya saba kutakuwa kusanyiko takatifu; haitafanywa kazi yo yote katika siku hizo, isipokuwa kwa hiyo ambayo kila mtu hana budi kula, hiyo tu ifanyike kwenu.
 
Katika uislamu kasome Qur an na sunnah kwanza then tujadili maana tutabishana kumbe hujui kitu.

Unasema swala hawachanganyikani lakini Hijja wanachanganya...Mbona huulizi ibada ya funga wakifunga wanachanganyikana? Na funga ni ibda na hiyo hijjah sio lazima kama hujui.!

Kila ibada na sheria uislamu haswa mwanamke anatakiwa kujua dini na kuswali anaweza kuswali nyumbani kwake kupunguza fitna ..

Kuongoza ibada mwanamke umeona ile ya wamarekani basi kweny uislamu haipo kama umeona mara kadhaa leta ushahidi.
 
Elimu yako wewe bado uisilamu unatakiwa wausemee wasomi kosa lako liko hapo nambar 3
Weka Aya ya Quran yaishe. Haya sio mashindano ya Elimu. Aya tunaelewana.
Karibu kwa maoni zaidi.
 
Katika uislamu kasome Qur an na sunnah kwanza then tujadili maana tutabishana kumbe hujui kitu.

Unasema swala hawachanganyikani lakini Hijja wanachanganya...Mbona huulizi ibada ya funga wakifunga wanachanganyikana? Na funga ni ibda na hiyo hijjah sio lazima kama hujui.!

Kila ibada na sheria uislamu haswa mwanamke anatakiwa kujua dini na kuswali anaweza kuswali nyumbani kwake kupunguza fitna ..

Kuongoza ibada mwanamke umeona ile ya wamarekani basi kweny uislamu haipo kama umeona mara kadhaa leta ushahidi.
Weka aya ya quran kukosoa hoja.
Vyote hivyo mimi nasoma mkuu, usiwe na shaka.
 
Mchungaji au askofu wa kike, bible iliandikwa na watu waliokuwa na ubaguzi. Mungu wa kweli anahubiriwa na jinsia zote mbili. Kwa Mungu wa kweli binadamu wote ni sawa.
Weka aya inasema biblia iliandikwa na wabaguzi mkuu. Ushahidi ni muhimu sana mkuu.
 
Acts 2:4
[4]And they were all filled with the Holy Ghost, and began to speak with other tongues, as the Spirit gave them utterance.
Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
 
Ukiamini tu bible iliandikwa na binadamu hakuna haja ya kutafuta Aya ya ubaguzi. Walipoandika "penye wengi wanaosali Mimi nipo kati yao" hayo ni maneno yangu ila yanafanana na ya Bible. Janja yao ni kwamba mkusanyike wengi ili sadaka iwe kubwa.
 
Jampili nayo imeagizwa kukusanyika rejea kutoka 12:16. Hivyo kuifanya siku ya kwanza kuwa siku yakuabudu na kutofanya kazi ni sahihi. Mwanamke kuongoza ibada, mavazi ya suruali fupi kwa wanaume na mavazi ya kanzu ni tamaduni zilizorithiwa kutoka kwa waasisi wa hizo Imani.
Siku ya kwanza hiyo unaitambuaje? maana majina ya Siku,tarehe na miaka ni mwanadamu tu ndio alianza kusema siku hii tuiite Minday na tuiweke iwe siku ya 1 ya Juma wangetaka wangesema hata JUmapili iwe siku ya 3 ya Juma.
ni naming tu ya vitu ni kama wewe unavyo mzaa mtoto anachagua jina la kumpa but hilo jina kimantiki halina maana yoyote isipokuwa utambulisho tu.
 
Hiyo ya kuvaa suruali hazifiki chini naiunga mkono kwanza zamani kulikuwa hakuna suruali
Mavazi ya wanaume kwenye uisilamu hayatakiwu kuvuka kongo 2 buruza chini hiwe kanzu suruali kikoa swali hili neno suruali unajua hasili yake linatokana na kabila lugha gani?
1684580936213.jpg
 
Back
Top Bottom