Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Wewe ni mwamba na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa.....nakupa funguo za mbinguni, utakalolifunga duniani na mbinguni limefungwa... vivyo hivyo kwa utalolifungua duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijasema hili mkuu. Labda nikusaidie tu kuwa, "si dhambi mchungaji kuoa au kuolewa na si dhambi mchungaji kutokuoa".Kwa hiyo Ni dhambi mchungaji kuoa au kuolewa
Wewe ndiye hujamwelewa, mwili huu wafaa nini kwake. Ukiolewa ama usipoolewa Yesu hana shida na wewe.Mkuu inawezekana sijakuelewa au wewe ndio hujamuelewa Yesu.
Safi sana. Maana yake nini? Ni hii, Ulimwengu mpya hauhusiani kabisa na mambo ya kuoa au kuolewa katika ulimwengu wa kale.Maana Petro alikuwa na mke na hakumwambia amuache ili asijeakaukosa ulimwengu mpya
Kweli kabisa. Ongeza na hili, amwaminiye Yesu hafi kabisa.Amwaminiye Yesu maana yake amhana dhambi.
Kwahiyo?,Namba mbili Iko powa sanaa,
2: Kunena kwa Lugha ambazo mnenaji na wasikilizaji wote hawaelewani.
Umechanganya uongo na ukweli.Kweli kabisa. Ongeza na hili, amwaminiye Yesu hafi kabisa.
Yohana 8:51
Amin, amin, nawaambia, Mtu akilishika neno langu, hataona mauti milele.
Je mtu unayemwona amekufa katika ulimwengu huu utajuaje kuwa yu mzima katika ulimwengu mpya? La hasha, Mungu ajua.
Kwahiyo hao wanaamini kuwa ndugu zao ni wazima, kwani Yesu aliahidi atatupa uzima wa milele kama tukiamini.
Yohana 3:14
Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa;
Yohana 3:15
ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye.
Kwahiyo wewe usiye sadiki utaona na kufikri kuwa ni maiti, bali waaminio watasadiki kuwa ndugu yao yu mzima katika Kristo. Hivyo wakimuombea au wakimwomba awaombee ni sawa na kwamba wanazungumza na baba(Kristo) aliye ndani ya yule uonae wewe kuwa ni maiti.
Haya maneno umeongea wewe lakini si Yesu. Sijaona mahala umeweka evidence ya Yesu kuongea. Bali danadana zote kusubiri ufufuo, kupumzika ni maneno yako mkuu.Umechanganya uongo na ukweli.
Ile mauti huwa ni kama mtu aliyelala usingizi hajui chochote. Amepymzika akisubiri ufufuo wa siku za mwisho aamshwe ale uzima wa milele.
Huwezi kuongea au kupiga story na maiti au mtu aliyelala mkaelewa.
Ndio maana Yesu alimuamsha Lazaro, alikuwa amelala hakuwa mzima milele.
Alimuamsha mtoto wa Jairo. Maana alikuwa amelala.
Ni dhambi kuomba wafu.
Kuongea na waliokufa/lala walifanya watu baada ya kumuasi Mungu. Mfano mfalme Sauli. Ni uganga na ushirikina.
Ni chukizo.
LazaroHaya maneno umeongea wewe lakini si Yesu. Sijaona mahala umeweka evidence ya Yesu kuongea. Bali danadana zote kusubiri ufufuo, kupumzika ni maneno yako mkuu.
Hebu angalia Yesu anasema nini:
Yohana 11:26
naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?
Yohana 8:51
Amin, amin, nawaambia, Mtu akilishika neno langu, hataona mauti milele.
Nami nakuuliza je unasadiki?
Kama unachagua kukataa haya maneno sawa, bali hayo maneno ndiye Kristo na ni uzima.
Yohana 8:25
Basi wakamwambia, U nani wewe? Yesu akawaambia, Hasa neno lilo hilo ninalowaambia.
Chenga nyingi sana ambazo bado hazina maana. Hata hivo umekubali pia kuwa katika kristo hakuna kifo. Kwa sababu hujaleta maneno ya Yesu anayosema kuna Kifo katika Yeye.Lazaro
Yohana 11:11
Aliyasema hayo; kisha, baada ya hayo, akawaambia, Rafiki yetu, Lazaro, amelala; lakini ninakwenda nipate kumwamsha.
Binti yairo
Luka 8:52
Na watu wote walikuwa wakilia na kumwombolezea; akasema, Msilie, hakufa huyu, bali amelala usingizi tu.
Yesu akija.
1 Wathesalonike 4:15
Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.
Muelewe Yesu nyuzi 360.
Kwa sababu uhauhakika wa kuamshwa ukilala katika umauti ndio maana hicho kipindi unahesabika kama mtu mwenye uzima wa milele alitepumziza akisubiri kuamshwa aendelee kula raha ya milele.
Sio mtu aliyemafichoni ambaye unaweza kumuomba maiti huyo dua akakusikia. Kwaza toba na msahama ni kazi ya Mungu asiyelala sio maiti.
Unganisha haya maarifa mawili na uliyonayo utakua sana katika ukristo wako.
Asante mimi sitakuwa na nyingeza zaidi ya haya.
Kila la kheri
Hapo hujanionesha ni wapi YESU amesema waaminio wanakufa.Lazaro

Mtu mwenye uzima wa milele aliyepumzika nimeanza kumsikia kwako kwa Yesu hayupo.mtu mwenye uzima wa milele alitepumziza akisubiri kuamshwa aendelee kula raha ya milele.
Hizi dini ni za kimkakati tu, hazina ukweli wowote.Hizi hazimo kwenye Biblia.
1: Sikukuu za Krismass na Easter.
2: Kunena kwa Lugha ambazo mnenaji na wasikilizaji wote hawaelewani.
3: Maombezi kwa maiti ili isamehewe dhambi alizofanya akiwa hai.
4: Sabato ya Jumapili.
5: Mchungaji au askofu wa kike. Katika biblia mchungaji ni Mume wa mke mmoja sio mke wa Mume mmoja.
HAYAMO KWENYE QURAN
1: Ishmail kuwa Bora kuliko Isaka.
2: Waislam Kufanya miujiza wakati mtume hakuwahi kufanya muujiza wowote ndani ya quran.
3:Kuvaa suruali ambazo hazifiki chini.
Zile Suruali fupifupi.
4: Wanawake na wanaume kuchangamana wakati wa ibada ya hijja kwenye kaaba (ibada ya heshima kabisa) wakati huku misikitini hawachangamani.
5: Wanawake kuwa maimam na kuongoza ibada zanye mchanganyiko wa jinsia zote.
Nini maoni yako.