Tamaduni 10 za kidini ambazo hazimo kwenye Biblia au Quran

Tamaduni 10 za kidini ambazo hazimo kwenye Biblia au Quran

Bila aya ya quran ambazo mada inataka hizi mkuu zinakuwa ni kelele za kijuaji. Mada sio ujuzi wa uislam. Weka aya bro.
Quran Al-Baqarah 2:285

ءَامَنَ ٱلرَّسُولُ بِمَآ أُنزِلَ إِلَيْهِ مِن رَّبِّهِۦ وَٱلْمُؤْمِنُونَۚ كُلٌّ ءَامَنَ بِٱللَّهِ وَمَلَٰٓئِكَتِهِۦ وَكُتُبِهِۦ وَرُسُلِهِۦ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّن رُّسُلِهِۦۚ وَقَالُوا۟ سَمِعْنَا وَأَطَعْنَاۖ غُفْرَانَكَ رَبَّنَا وَإِلَيْكَ ٱلْمَصِيرُ

Mtume ameamini yaliyo teremshwa kwake kutoka kwa Mola Mlezi wake, na Waumini vile vile. Wote wamemuamini Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake na Mitume wake. Hatutafautishi baina ya yeyote katika Mitume wake, na (Waumini) husema: Tumesikia na tumet'ii. Tunakutaka maghfira Mola Mlezi wetu! Na marejeo ni kwako.

Al-Baqarah 2:136

قُولُوٓا۟ ءَامَنَّا بِٱللَّهِ وَمَآ أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَآ أُنزِلَ إِلَىٰٓ إِبْرَٰهِۦمَ وَإِسْمَٰعِيلَ وَإِسْحَٰقَ وَيَعْقُوبَ وَٱلْأَسْبَاطِ وَمَآ أُوتِىَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَآ أُوتِىَ ٱلنَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُۥ مُسْلِمُونَ

Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake."

PIA MTUME AMESEMA HIVI

Abu Sa’eed Al-Khudri reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said:

لَا تُخَيِّرُوا بَيْنَ الْأَنْبِيَاءِ
Do not make the prophets better than one another.
Source: Sahih Bukhari 2281, Grade: Sahih
 
Bila aya ya quran ambazo mada inataka hizi mkuu zinakuwa ni kelele za kijuaji. Mada sio ujuzi wa uislam. Weka aya bro.
Abu Huraira reported: Two people, one Jewish and the other Muslim, fell into dispute and began to abuse one another. The Muslim said, “By Him Who chose Muhammad in the worlds!” The Jew said, “By Him Who chose Moses in the worlds!” Then the Muslim slapped the Jew on his face. The Jew went to the Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, and told him about the incident, so the Prophet said:

لَا تُخَيِّرُونِي عَلَى مُوسَى فَإِنَّ النَّاسَ يَصْعَقُونَ فَأَكُونُ أَوَّلَ مَنْ يُفِيقُ فَإِذَا مُوسَى بَاطِشٌ بِجَانِبِ الْعَرْشِ فَلَا أَدْرِي أَكَانَ فِيمَنْ صَعِقَ فَأَفَاقَ قَبْلِي أَمْ كَانَ مِمَّنْ اسْتَثْنَى اللَّهُ​
Do not say I am better than Moses for mankind will faint on the Day of Judgment and I will be the first to recover, and Moses at that time will be holding the side of the Throne. I do not know if he would faint and recover before me, or if Allah will make an exception for him.
Source: Sahih Muslim 2373, Grade sahih
MUNGU amewafadhilisha baadhi ya mitume kuliko wengine , na YEYE ndiye mjuzi zaidi ila Mtume Muhammad pbuh amekemea na kukataza suala la kulumbana juu ya ubora wa mtume mmoja dhidi ya mwingine.Sisi kama waislam tunaikubali mitume na manabii wote 124,000 waliotumwa na Mungu kuja kuwaongoza wanadamu waielekee njia yake.
 
Quran Al-Baqarah 2:285

ءَامَنَ ٱلرَّسُولُ بِمَآ أُنزِلَ إِلَيْهِ مِن رَّبِّهِۦ وَٱلْمُؤْمِنُونَۚ كُلٌّ ءَامَنَ بِٱللَّهِ وَمَلَٰٓئِكَتِهِۦ وَكُتُبِهِۦ وَرُسُلِهِۦ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّن رُّسُلِهِۦۚ وَقَالُوا۟ سَمِعْنَا وَأَطَعْنَاۖ غُفْرَانَكَ رَبَّنَا وَإِلَيْكَ ٱلْمَصِيرُ

Mtume ameamini yaliyo teremshwa kwake kutoka kwa Mola Mlezi wake, na Waumini vile vile. Wote wamemuamini Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake na Mitume wake. Hatutafautishi baina ya yeyote katika Mitume wake, na (Waumini) husema: Tumesikia na tumet'ii. Tunakutaka maghfira Mola Mlezi wetu! Na marejeo ni kwako.

Al-Baqarah 2:136

قُولُوٓا۟ ءَامَنَّا بِٱللَّهِ وَمَآ أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَآ أُنزِلَ إِلَىٰٓ إِبْرَٰهِۦمَ وَإِسْمَٰعِيلَ وَإِسْحَٰقَ وَيَعْقُوبَ وَٱلْأَسْبَاطِ وَمَآ أُوتِىَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَآ أُوتِىَ ٱلنَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُۥ مُسْلِمُونَ

Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake."

PIA MTUME AMESEMA HIVI

Abu Sa’eed Al-Khudri reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said:
Sijaelewa hizi aya ni mrejesho wa kipengere kipi kati ya vile vitano. Naomba ili nioanishe.
 
Bila aya ya quran ambazo mada inataka hizi mkuu zinakuwa ni kelele za kijuaji. Mada sio ujuzi wa uislam. Weka aya bro.
SUALA LA PILI

Al-Isra' 17:59

وَمَا مَنَعَنَآ أَن نُّرْسِلَ بِٱلْءَايَٰتِ إِلَّآ أَن كَذَّبَ بِهَا ٱلْأَوَّلُونَۚ وَءَاتَيْنَا ثَمُودَ ٱلنَّاقَةَ مُبْصِرَةً فَظَلَمُوا۟ بِهَاۚ وَمَا نُرْسِلُ بِٱلْءَايَٰتِ إِلَّا تَخْوِيفًا

Na hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza ila ni kuwa watu wa zamani waliikanusha. Na tuliwapa Wathamudi ngamia jike kuwa ni Ishara iliyo dhaahiri, lakini walidhulumu kwaye. Nasi hatupeleki Ishara ila kwa ajili ya kuhadharisha."

Miujiza inatoka kwa Mungu kwenda kwa nabii/mtume wake na huletwa ikiwa ni kama ishara ya kuwafanya watu waielekee njia ya mola wao na wanapoikadhibisha basi kilichokuwa kikifuata ni adhabu kali juu ya watu hao . Ama kwa umma huu hakuna tena Muujiza baada ya Mtume Muhammad kufariki zaidi ya hii Quran aliyopewa na MUNGU kwa ajili ya kutuongoza sisi wanadamu.
 
Sabato ya Jumapili.
Wagalatia 3:11
Ni dhahiri ya kwamba hakuna mtu ahesabiwaye haki mbele za Mungu katika sheria; kwa sababu Mwenye haki ataishi kwa imani.

Wagalatia 3:12
Na torati haikuja kwa imani, bali, Ayatendaye hayo ataishi katika hayo.

Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya
mti;
 
Hizi hazimo kwenye Biblia.
1: Sikukuu za Krismass na Easter.

2: Kunena kwa Lugha ambazo mnenaji na wasikilizaji wote hawaelewani.

3: Maombezi kwa maiti ili isamehewe dhambi alizofanya akiwa hai.

4: Sabato ya Jumapili.

5: Mchungaji au askofu wa kike. Katika biblia mchungaji ni Mume wa mke mmoja sio mke wa Mume mmoja.
Kutokuwa na masuria
 
Ama suala la Tatu kuhusiana na Isbaal (kuvaa nguo na kuiacha iburuzike kupita vifundo viwili vya miguu) kutokana na Kiburi ni suala lililokuja katika mafundisho ya Mtume Muhammad (pbuh) yanayoitwa Sunnah...Zimepokelewa ahadith kadhaa kuhusiana na suala hili

Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) said: “Whatever of the izaar (lower garment) hangs down below the ankles is in the Fire.”

(Narrated by al-Bukhaari, 5787)
 
SUALA LA PILI

Al-Isra' 17:59

وَمَا مَنَعَنَآ أَن نُّرْسِلَ بِٱلْءَايَٰتِ إِلَّآ أَن كَذَّبَ بِهَا ٱلْأَوَّلُونَۚ وَءَاتَيْنَا ثَمُودَ ٱلنَّاقَةَ مُبْصِرَةً فَظَلَمُوا۟ بِهَاۚ وَمَا نُرْسِلُ بِٱلْءَايَٰتِ إِلَّا تَخْوِيفًا

Na hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza ila ni kuwa watu wa zamani waliikanusha. Na tuliwapa Wathamudi ngamia jike kuwa ni Ishara iliyo dhaahiri, lakini walidhulumu kwaye. Nasi hatupeleki Ishara ila kwa ajili ya kuhadharisha."

Miujiza inatoka kwa Mungu kwenda kwa nabii/mtume wake na huletwa ikiwa ni kama ishara ya kuwafanya watu waielekee njia ya mola wao na wanapoikadhibisha basi kilichokuwa kikifuata ni adhabu kali juu ya watu hao . Ama kwa umma huu hakuna tena Muujiza baada ya Mtume Muhammad kufariki zaidi ya hii Quran aliyopewa na MUNGU kwa ajili ya kutuongoza sisi wanadamu.
Mbona aya haisemi mtume kafanya miujiza.
Aya na maelezo sioni kama uanakanusha hoja ya mada. Labda ufafanushe zaidi. Anza kusoma kipengele nilichotoa ndio utoe aya na maelezo na upime kama vinaendana kabla hujapost. Hapo utakuwa umesaidia wengi shehe.
 
Wewe ndio utulize kichwa usome hiyo aya vizuri!! Ujue kwanza ni sababu gani ilifanya Mungu alete miujiza kwa Mitume wake na nini kiliwapata watu mara baada ya kuikanusha hiyo miujiza (ishara).
 
Siku ya kwanza hiyo unaitambuaje? maana majina ya Siku,tarehe na miaka ni mwanadamu tu ndio alianza kusema siku hii tuiite Minday na tuiweke iwe siku ya 1 ya Juma wangetaka wangesema hata JUmapili iwe siku ya 3 ya Juma.
ni naming tu ya vitu ni kama wewe unavyo mzaa mtoto anachagua jina la kumpa but hilo jina kimantiki halina maana yoyote isipokuwa utambulisho tu.
well said
 
Quran: Ar-Ra'd 13:38

وَلَقَدْ أَرْسَلْنَا رُسُلًا مِّن قَبْلِكَ وَجَعَلْنَا لَهُمْ أَزْوَٰجًا وَذُرِّيَّةًۚ وَمَا كَانَ لِرَسُولٍ أَن يَأْتِىَ بِـَٔايَةٍ إِلَّا بِإِذْنِ ٱللَّهِۗ لِكُلِّ أَجَلٍ كِتَابٌ

Na hakika Sisi tulikwisha watuma Mitume kabla yako(ewe Muhammad), na tukajaalia wawe na wake na dhuriya. Na haiwi kwa Mtume kuleta miujiza isipo kuwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Kila kipindi kina hukumu yake.
 
Mbona aya haisemi mtume kafanya miujiza.
Aya na maelezo sioni kama uanakanusha hoja ya mada. Labda ufafanushe zaidi. Anza kusoma kipengele nilichotoa ndio utoe aya na maelezo na upime kama vinaendana kabla hujapost. Hapo utakuwa umesaidia wengi shehe.
Kabla sijaendelea nikupongeze kwa juhudi za kujikita kwenye quran. Maana wengi badala ya kujibu hoja wanatutishia hatujui uislam mara hatujui quran wakati ni kitabu ambacho tunakisoma kama vitabu vingine vya kidini.
 
1: Sikukuu za Krismass na Easter.

2: Kunena kwa Lugha ambazo mnenaji na wasikilizaji wote hawaelewani.
Hizi ni kuadhimisha na kukumbushana wala haziongezi ama kupunguza chochote kwenye uhusiano wako na Mungu.
Mungu hatumuabudu kwa hayo bali:
Yohana 4:20
Baba zetu waliabudu katika mlima huu, nanyi husema ya kwamba huko Yerusalemu ni mahali patupasapo kuabudia.

Yohana 4:21
Yesu akamwambia, Mama, unisadiki, saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala kule Yerusalemu.

Yohana 4:22
Ninyi mnaabudu msichokijua; sisi tunaabudu tukijuacho; kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi.

Yohana 4:23
Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.

Yohana 4:24
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
 
kuhusu pasaka soma kutoka 12 yote kama huna muda soma kutoka 12:27 na vitabu vya injili. Kuhusu kumena kwa lugha kasome matendo ya mitume Kunzia siku ya pentekoste na wakorintho kuhusu karama za Roho.
 
3: Maombezi kwa maiti ili isamehewe dhambi alizofanya akiwa hai.
Yohana 11:24
Martha akamwambia, Najua ya kuwa atafufuka katika ufufuo siku ya mwisho.

Yohana 11:25
Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;

Yohana 11:26
naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?

Nami nakuuliza je unasadiki?
 
Back
Top Bottom