Tamasha La Harmonize Arusha, nimesikitika Sana

Wakati natembea miles kutafuta chakula kuna ambaye anatembea miles kusaga chakula tumboni.
 

Kwa hiyo mkuu waTanzania wote wana hizo shida ulizozitaja?
 
😊😊😊😊😊😊😊
 
Mwanaume na nywele zangu nitoe hata Mia mbili afu afu nikaambiwe nyanyua mikono juu piga kelelee!
Au labda nikuulize Una umri gani!?
 
Mwanaume na nywele zangu nitoe hata Mia mbili afu afu nikaambiwe nyanyua mikono juu piga kelelee!
Au labda nikuulize Una umri gani!?
Yaani matamasha ya Bongo inabidi mashabiki ndio tulipwe.

Maana unaingia wewe unaimba nyimbo zote. Akiingia Nandy anawaimba tuimbe wote, Dogo Janja tuimbe wote, Diamond mikono juu... Khaa. Unatoka umechokaaa..
 
Mwanzo mgumu,naamini atarekebisha na anasoma coment zenu.
 
Mkuu tsh 62500 ndio uifungulie uzi

Kifup n kwamba kila mmoja ametoa kias tajwa hapo juu ingekuwa 500k kwa kichwa sawa ulikuwa na haki

Kwa hyo ukitegemea ukute meza ya tanzanite Hennessey chupa kubwa

Kifup meza imeendana na salio lenu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

Baelezee baelezeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…