kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
Aiaee pole sana kakaMkuu Nikudanganye Ili Iweje Kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiaee pole sana kakaMkuu Nikudanganye Ili Iweje Kaka
Aisee 😹😹😹😹😹Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwa nn Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako.
.....
Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha.
.....
Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La harmonize Arusha hiyo meza ya Laki5 kesho mtu anaweza asishawishike kwenda Kwenye Matamasha Yao, Jamaa Wana poor Hospitality Sana Wakuu, Sikutegemea Nilichokikuta Kwa Kweli.View attachment 1809339View attachment 1809340
Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwa nn Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako.
.....
Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha.
.....
Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La harmonize Arusha hiyo meza ya Laki5 kesho mtu anaweza asishawishike kwenda Kwenye Matamasha Yao, Jamaa Wana poor Hospitality Sana Wakuu, Sikutegemea Nilichokikuta Kwa Kweli.View attachment 1809339
Umeona sisi watoto wenzio sana. Hiyo meza sio ya laki tano aisee. Nomesoma hiyo tiketi vizuri sana ulichojisahau ni kwamba tiketi inajieleza.Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwa nn Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako.
.....
Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha.
.....
Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La harmonize Arusha hiyo meza ya Laki5 kesho mtu anaweza asishawishike kwenda Kwenye Matamasha Yao, Jamaa Wana poor Hospitality Sana Wakuu, Sikutegemea Nilichokikuta Kwa Kweli.View attachment 1809339View attachment 1809340
Ni muongo soma hiyo ticket inajieleza kabisa, table for eight people ndio 500K ambapo ukiangalia hiyo meza sio ya watu 8 yani by any means.Sawa juma lokole tumesikia
Hajui kama na wewe ulienda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]majungu si mtajiNi muongo soma hiyo ticket inajieleza kabisa, table for eight people ndio 500K ambapo ukiangalia hiyo meza sio ya watu 8 yani by any means.
Kiingilio ilikuwa 10 kawaida kwa 20 VIP. Ametuona mabwege sana
Umeona sisi watoto wenzio sana. Hiyo meza sio ya laki tano aisee. Nomesoma hiyo tiketi vizuri sana ulichojisahau ni kwamba tiketi inajieleza.
Table for 8 people ndio laki tano ambayo hiyo uliyoweka by any means haiwezi kuwa meza ya kuaccomodate watu nane.
Pia kiingilio ni 10,000 kawaida na VIP ni 20,000 inajieleza kabisa hapo aisee hebu usituone sisi ni watoto.
Yan kila mtu kachangia 62500 ...Yan ni hela ya kawaida kabisaDunia hii haijawahi kuwa na usawa..
Lakini bado hiyo 500k ni kwa meza ya watu 8.
Mm skuchangia nilivyofika Nikaambiwa meza zote zimejaa so Kama Unataka lips 500k upewe meza ya Peke YakoYan kila mtu kachangia 62500 ...Yan ni hela ya kawaida kabisa
Wewe ni kijana wa Chuga au unafanya tu mishe mishe huko ?Mm skuchangia nilivyofika Nikaambiwa meza zote zimejaa so Kama Unataka lips 500k upewe meza ya Peke Yako
Naishi Dodoma Mkuu, Nilienda Nilikuwa na Kesi High CourtWewe ni kijana wa Chuga au unafanya tu mishe mishe huko ?
Anyway. Hakuna mgogo mwenye akili.Naishi Dodoma Mkuu, Nilienda Nilikuwa na Kesi High Court
Mpaka ifike December utakuwa umeshajifungua TOTO LA KIMAKONDE.Sasa na wewe unaendaje Kwa wasanii vilaza kama hao , angalia Tu hata video za wasanii wake jinsi zilivyo poor ndo utajua jamaa anaunga unga Sana , video ya Attitude walichukua zile carpet draft nyesui na nyeupe wakagongomelea na mlingoti pamoja na mbao reject 🙂
Punguza Upunguani Nyau Ww, Unadhani Wote wanaoishi Dodoma Ni Wagogo? Halafu Familia Yangu Haina Shida, deal na Maisha Yako... NaiveAnyway. Hakuna mgogo mwenye akili.
Siku nyingine hiyo 62500 saidia ndugu zako ombaomba.
Show iliandaliwa na Next level Arena hao wasanii walikuwa watoa burudani tu.
Sioni kwa namna yoyote kama walihusika na uandaaji wa tamasha.
Anza wewe kudeal na maisha yako siyo kujadili wanaume wa kazi.Punguza Upunguani Nyau Ww, Unadhani Wote wanaoishi Dodoma Ni Wagogo? Halafu Familia Yangu Haina Shida, deal na Maisha Yako... Naive
Maana yake kila mmoja alitoa 62,500/=Dunia hii haijawahi kuwa na usawa..
Lakini bado hiyo 500k ni kwa meza ya watu 8.
Hatulingani vipato mkuu na ukiona kwako maisha ni magumu basi ujue kuna mwingine kwake ni mepesi,ikiwa wew laki 5 yako waisubilia Aidha kwa miezi 4 ili ikae mfukoni nje ya matumizi kuna mwingine ni hesabu ya Siku moja tu.Hivi kwa jinsi hela ilivyo ngumu na ajira hakuna, bado watu wanakimbizana kwenye matamasha ya muziki???
Tusimkufuru mwenyezi mungu sijui Oh Mbona sipati ajira au mbona sipati hela wakati mtu unakwenda kumuunga mkono shetani (Muziki, Ulevi, Umalaya n.k) kwenye matamasha kwa kiingilio cha Sh 500,000/=, hio ni laana.
Hio 500,000/= ni mtaji tosha hata wa kuanzisha biashara ya M-Pesa au TigoPesa na kujikomboa na umasikini.