AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Utalii.Akina Mwijaku na machawa wenzie wote...vyombo vya habari na waandishi wake...baadhi ya watendaji wa serikali...wamejaa huko kwa kugharamiwa mavazi malazi na chakula....
NINI KIMEBADILIKA BAADA YA FAIDA YA ROYAL TOUR...Utalii.
Huelewi kuwa Tanzania ipo kwenye promotion ya kuongeza namba ya watalii?
Hivi hujawahi kuisikia Royal Tour?
Hakika Tanzania adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Naona sasa anaemfatia kwa haraka sana ni roho mbaya.
Haina tofauti na mambo yaliyo kuwa yakifanyika Chato wakati wa awamu ya Tano.Utalii.
Huelewi kuwa Tanzania ipo kwenye promotion ya kuongeza namba ya watalii?
Hivi hujawahi kuisikia Royal Tour?
Hakika Tanzania adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Naona sasa anaemfatia kwa haraka sana ni roho mbaya.
Hizi sherehe zimeanza miaka mingi sana kabla mama Samia hajawa Rais.Haina tofauti na mambo yaliyo kuwa yakifanyika Chato wakati wa awamu ya Tano
Ushamba wa Madaraka tu..
Duh utakuwa na upeo mdogo sana kusubiri kujua taarifa fulani kupitia baba levo🤣🤣yani taarifa ya msingi uijue kupitia chawa?lol kizaz empty setMimi simkubali Bi Hangaya kabisa lakin ktk hili Namuunga mkono,
Kizimkazi ni eneo ndani ya jamuhuri na ndo alipozaliwa Rais.
Ni kama Butiama,Chato,Msoga,Lupaso n.k
Wacha lipigwe Promo.
Mimi bila Babalevo nisingejua Bi HNgaya kazaliwa huko
Nitajie sherehe moja ya kipuuzi iliyo fanyika ButiamaHizi sherehe zimeanza miaka mingi sana kabla mama Samia hajawa Rais.
Kumbuka hilo.
Hawajawahi kufanya "promotions" za utalii.Nitajie sherehe moja ya kipuuzi iliyo fanyika Butiama
Au Kwa kina Mkapa zaidi ya Mazishi yake
Au Kwa Mzee Mwinyi zaidi ya maulidi maulidi za kidini tu Tena kimya kimya
Ni mihemko ya kupata!!
Mungu aturehemu
Inawashangaza mliozowea kuchungwa kama kondoo. Hata Royal Tour hamkuielewa maana na faida zake.Duh! kwa hakika inashangaza..
Haya Umeshinda!!!Hawajawahi kufanya "promotions" za utalii.
Ukijuwa R mbili za mwisho kwenye falsafa ya mama Samia zina maana ipi, hutolalamika.
Kumbuka tu, Muumba wetu haikalifishi nafsi siyoweza kuyabeba.Haya Umeshinda!!!
Usiache kumuelekeza Bi Mkubwa kuomba Rehema za Muumba wake Nina uhakika Ukimwi umesambazwa hapo kijijini kupitia tamasha