AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Akina Mwijaku na machawa wenzie wote...vyombo vya habari na waandishi wake...baadhi ya watendaji wa serikali. Wamejaa huko kwa kugharamiwa mavazi malazi na chakula.
Promo kila redio na TV ni tamasha la Kizimkazi...pesa imelipwa ya matangazo.
HILI LINA FAIDA GANI KWA TAIFA? achaneni na hoja mfu na kivuli eti UTALII...kwani ni nani ametuambia utalii upo chini? Kwamba unahitaji tamasha la kizimkazi kuuboresha?
Wengine wanasema anaenda kuzindua miradi? Mbona haikufanyika namna hiyo kwenye miradi mingine..?