Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini?

Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.

Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.

Tusiruhusu Mwaka huu 2023 kuwe na matamasha kama haya Tena!

Wimbo: Born to Suffer by Lucky Dube
Watakaokusanyika huko wa......
 
Only stupid women narudia Tena wanawake wajinga TU ndo ndo wanaentain huu upuuzi na kujifariji ndoa iheshimiwe na watu wote
Kutokuolewa kwetu kuolewa,talaka na kutengana kwetu Sio kigezo Cha kudharau tendo takatifu,ndoa ni nusu ya dini Kwa aliyeikamilisha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wanaona cha nini wakati ndani ya mioyo wanaukiri uhalisia,
 
Kwahiyo wabaki wanyonge siku zote za maisha yao? Wacha wajifariji, , after all men ndo wamesababisha wawe single mothers.
 
I won't lie myself, napenda kuwa single dad, ndilo zoezi na practise kwa sasa, sitaki kufa mapema kwa stress na gubu la mke, napenda kubadilishana nawazo na single mama, wananifariji kweli, na waelewa sana kutokana na misukosuko mingi wanyokutana nayo,hata kuwala ni wazuri sana.
Vitu vya kuwa makini nao ni usiwahaidi lolote wala usijikweze kwa itamsaidia issue, ujue ataikomalia kwelikweli, hawa ni kuwa nao katika starehe, usivuke mipaka utaumia ndugu.
 
Mwanamke anaeponda ndoa ikiwa ye hana hiyo ndoa basi ni mbinu ya kujifariji na upweke au kuhusiana na waume za watu,

Ndoa zina changamoto lakini hatuwezi kukataa kuwa ndipo panamuheshimisha na kumthaminisha sana mwanamke(hasa Afrika)
[emoji173][emoji173][emoji173]
 
Back
Top Bottom