Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hao haoHao kataa ndoa?
There is no such a thing like single mother,those are just women living without a man in one loof,Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini?
Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.
Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.
Tusiruhusu Mwaka huu 2023 kuwe na matamasha kama haya Tena!
Wimbo: Born to Suffer by Lucky Dube
Mada ni ya kiswahili, lakini Kwa utumwa wa kifikra unaona English ndio lugha.There is no such a thing like single mother,those are just women living without a man in one loof,
We merried men,pay for their bills,we feed their kids,we pay rent,we take them to holidays,and above all we JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala them any time we want,using different styles.
If single motherhood,means living with ur kids,and being ecomomically,financially dependent,that is ok,but we all know that is not the case,in this country,women are poor,and men have the financial power,so there number of women living independently without help of men,is minor.
Only stupid women narudia Tena wanawake wajinga TU ndo ndo wanaentain huu upuuzi na kujifariji ndoa iheshimiwe na watu woteMwanamke anaeponda ndoa ikiwa ye hana hiyo ndoa basi ni mbinu ya kujifariji na upweke au kuhusiana na waume za watu,
Ndoa zina changamoto lakini hatuwezi kukataa kuwa ndipo panamuheshimisha na kumthaminisha sana mwanamke(hasa Afrika)
Hao ni watu wasiokuwa na dira sahihi na watetea ushogaHao kataa ndoa?
Ila wewee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji122][emoji122]Ngoja nikatege mingo kwenye hyo Hotel kuna singo maza huwa ni pisi hatari [emoji39][emoji39][emoji39]
Na kuomba kupasha kiporo.Mbinu ya kujifariji na maswaibu yao watatoka kwenywe event halafu wataanza kuwapigia baba watoto kutuma ya matumizi maana zitakuwa zimeisha
Nyoooo,There is no such a thing like single mother,those are just women living without a man in one loof,
We merried men,pay for their bills,we feed their kids,we pay rent,we take them to holidays,and above all we JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala them any time we want,using different styles.
If single motherhood,means living with ur kids,and being ecomomically,financially dependent,that is ok,but we all know that is not the case,in this country,women are poor,and men have the financial power,so there number of women living independently without help of men,is minor.
FursaaKwa jinsi walivyo wengi acha waandaaji wa event wajipigie tu hela.
KATAA NDOAHao ni watu wasiokuwa na dira sahihi na watetea ushoga
Makongamano yanayoendelea humu ya kuwatukana single mothers unayaongeleaje mkuu? Au ni ruhusa kwa wanaume kutukana wanawake na single mothers kiujumla ila ni dhambi kwa single mothers kukaa na kupeana encouragement wenyewe kwa wenyewe? Nyie si mshasema hamtaki kuwaoa sasa bado mnawafatilia ili iwejeKatika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini?
Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.
Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.
Tusiruhusu Mwaka huu 2023 kuwe na matamasha kama haya Tena!
Wimbo: Born to Suffer by Lucky Dube
Hela yako ya kununua dagaa na nyanya chungu unakuja kutupigia kelele humuHamna lolote sio heshima mnayotafuta kwenye ndoa...mnataka tuu kuhudumiwa mule hela zetu. Hapa sasa ni mwendo wa mizagamuano baada ya hapo kila mtu akasake hela zake.
Wanawake wa uswahili pamoja na makandokando yao ila wanaheshimu sana wanaume.Huwa nawakubali Sana TALIBAN na Sheria zao sikuzote mwanamke akienda shule kidogo ni taabu Sana kwenye jamii.
Wanawake wa uswahilini huwezi kumwona kwenye hayo matamasha ya kujazana UJINGA
Wanafanyia wapi na lini ili tukajizolee ni watamu sana masingle motherKatika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini?
Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.
Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.
Tusiruhusu Mwaka huu 2023 kuwe na matamasha kama haya Tena!
Wimbo: Born to Suffer by Lucky Dube
ACheni USHOGAKATAA NDOA
Wanaume walevi wale vilabuni wanamshauri nani? Hivi huwa mnajionaje?Kifupi ni ngumu sana mwamamke kuishi bila utegemezi wa mwanaume hata kwa ushauri tu. Asipomtegemea mwanaume kapuku atamtegemea aliyemzidi uwezo wa kifedha, elimu au mali that is nature.