Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

Watakaokusanyika huko wa......
 
Wanaona cha nini wakati ndani ya mioyo wanaukiri uhalisia,
 
Kwahiyo wabaki wanyonge siku zote za maisha yao? Wacha wajifariji, , after all men ndo wamesababisha wawe single mothers.
 
Mkuu ikiwa wanapinga ndoa nawaunga mkono
KATAA NDOA
 
I won't lie myself, napenda kuwa single dad, ndilo zoezi na practise kwa sasa, sitaki kufa mapema kwa stress na gubu la mke, napenda kubadilishana nawazo na single mama, wananifariji kweli, na waelewa sana kutokana na misukosuko mingi wanyokutana nayo,hata kuwala ni wazuri sana.
Vitu vya kuwa makini nao ni usiwahaidi lolote wala usijikweze kwa itamsaidia issue, ujue ataikomalia kwelikweli, hawa ni kuwa nao katika starehe, usivuke mipaka utaumia ndugu.
 
Mwanamke anaeponda ndoa ikiwa ye hana hiyo ndoa basi ni mbinu ya kujifariji na upweke au kuhusiana na waume za watu,

Ndoa zina changamoto lakini hatuwezi kukataa kuwa ndipo panamuheshimisha na kumthaminisha sana mwanamke(hasa Afrika)
[emoji173][emoji173][emoji173]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…