Tamasha la Utamaduni Kilimanjaro halikuandaliwa Kichagga

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Ni wazi Tamasha la Utamaduni Kilimanjro limeandaliwa na viongozi wa CCM, khanga zilizotumika hazioneshi hata chembe utamaduni wa Kilimanjaro zaidi ya kumuonesha Rais Samia!

Kwa kifupi khanga hizo zingeweza kutumika mkoa wowote nchini, pia tamasha limetawaliwa na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi, hata hivyo wanakilimanjaro hawakuwa wana-CCM walikuwa wana-Kilimanjaro bila kujali vyama ingawaje Tamasha limetumika kuwabagua baadhi wanakilimanjaro wasio wana-CCM, kampeni hii haina tija kwa taifa.

Inaelekea CCM imekuja na staili ya kuwatumia watu wanaojiita machifu ili ijipatie umaarufu, ukweli utabaki ukweli hatuna machifu Tanzania kulingana na katiba ya nchi.
 
Ni wazi Tamasha la Utamaduni Kilimanjro limeandaliwa na viongozi wa CCM, khanga zilizotumika hazioneshi hata chembe utamaduni wa Kilimanjaro zaidi ya kumuonesha Rais Samia! Kwa kifupi khanga hizo zingeweza kutumika mkoa wowote nchini, pia tamasha limetawaliwa na wafuasi wa chama cha Mapinduzi, hata hivyo wanakilimanjaro hawakuwa wanaccm walikuwa wanakilimanjaro bila kujali vyama ingawaje Tamasha limetumika kuwabagua baadhi wanakilimanjaro wasio wanaccm, kampeni hii haina tija kwa taifa. Inaelekea CCM imekuja na staili ya kuwatumia watu wanaojiita machifu ili ijipatie umaarufu, ukweli utabaki ukweli hatuna machifu Tanzania kulingana na katiba ya nchi.
Tamasha limetumika kuwabagua baadhi wanakilimanjaro wasio wanaccm, kampeni hii haina tija kwa taifa. Inaelekea CCM imekuja na staili ya kuwatumia watu wanaojiita machifu ili ijipatie umaarufu, ukweli utabaki ukweli hatuna machifu Tanzania kulingana na katiba ya nchi.
 
Huwa siangalii TBC Tv lakini leo nimetumia muda kuiangalia ili nione kinachoendelea na ndicho nikionacho, hasa gharama zilizotumia kutengeneza khanga ambazo hazina lolote kuhusu mkoa wa Kilimanjaro zaidi ya kuwa na picha ya Rais Samia! Sijui ameingiaje kwenye utamaduni wa wanakilimanjaro? Tujikumbushe methali isemayo mdudu kaingiaje ndani ya kokwa la embe!
 
Wivu tu....Nipo uwanjani na wanakilimanjaro wamehamasika sanaa...!

Tamasha limefana mnoo
 
Ni wazi Tamasha la Utamaduni Kilimanjro limeandaliwa na viongozi wa CCM, khanga zilizotumika hazioneshi hata chembe utamaduni wa Kilimanjaro zaidi ya kumuonesha Rais Samia!

Kwa kifupi khanga hizo zingeweza kutumika mkoa wowote nchini, pia tamasha limetawaliwa na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi, hata hivyo wanakilimanjaro hawakuwa wana-CCM walikuwa wana-Kilimanjaro bila kujali vyama ingawaje Tamasha limetumika kuwabagua baadhi wanakilimanjaro wasio wana-CCM, kampeni hii haina tija kwa taifa.

Inaelekea CCM imekuja na staili ya kuwatumia watu wanaojiita machifu ili ijipatie umaarufu, ukweli utabaki ukweli hatuna machifu Tanzania kulingana na katiba ya nchi.
Hakuna chifu ana mamlaka juu ya mtu yoyote! Wanajisumbua tu
 
Mlima Kilimanjaro upo uchagani, hilo ndio muhimu zaidi.

Hata hao Wapare wa Same na Mwanga wakisafiri kwenda upareni husema wanakwenda Moshi, wakati hakuna Mpare wa Moshi.
Mbona mnaanza kubaguana?
 
Tamasha limetumika kuwabagua baadhi wanakilimanjaro wasio wanaccm, kampeni hii haina tija kwa taifa. Inaelekea CCM imekuja na staili ya kuwatumia watu wanaojiita machifu ili ijipatie umaarufu, ukweli utabaki ukweli hatuna machifu Tanzania kulingana na katiba ya nchi.

Nimeshangaa wanapandishia nyimbo za makabila mara “mwai wetu ehohie… irrelevant kabisa!
 
Back
Top Bottom