Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
- #41
Haki yako kuniita biased lakini TBC ni biased zaidi, wao wanajiona wapo kwa ajili ya serikali na CCM!Biased
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki yako kuniita biased lakini TBC ni biased zaidi, wao wanajiona wapo kwa ajili ya serikali na CCM!Biased
Ni vigumu sana kupanda kupitia Kenya, jinsi mlima ulivyo mwinuko na makorongo utahitaji uwezo mkubwa kuupanda, kabla jumuia ya Afrika Mashariki kufa upande wa Kenya kulikuwa na chuo cha ukakamavu cha jumuia.Na ndio maana watalii wanaenda kuangalia kupitià huko keñya na wanajițangaza duniani pote na hakuna wa kuwazuia
[emoji23][emoji23][emoji23]CCM ni kama Nsyuka.
Wao wakipata chance hata msibani jeneza wanaweza kulipaka mirangirangi yao ya Kijani..
View attachment 2091345
Wewe ndio mshamba, hao waliozaliwa Moshi mjini wapo na wanaitwa Waswahili.Wapare wa Moshi wapo acha ushamba ndugu na ujinga, na walikua na maeneo ukija eneo la Moshi vijijini maeneo ya tambarare Kuna wapare na wamasai wachaga wako milimani, Moshi mjini Kuna watu wamezaliwa pale na sio wachaga Leo hii huwezi waambia sio kwao, Ila kitu nachofahamu hakuna watu wabaguzi na wabinafsi kama wachaga
Ili swala la wapare kusema wanaenda Moshi nawakati wanaenda upareni walioharibu ni watu wa magari hata ukiwa unashukia Mwanga wanakuandikia kwenye tiketi Moshi au Arusha ndo maana wapare wakasema wanaenda moshi
Na waliozaliwa uchagani na wazazi wao wamejenga na Wana mashamba na sio wachaga wanaitwajeWewe ndio mshamba, hao waliozaliwa Moshi mjini wapo na wanaitwa Waswahili.
Mtu akisema Mwanza ni ya Wasukuma wala hakosei ingawa Wakerewe pia Mwanza ndio kwao.
CCM haijawahi kujiamini ndiyo sababu wako ubavuni mwa polisi.Huyu chief hangaya hajiamini kwa sababu ya kupwaya hivyo ameamua kuanza kampeni ya 2025 mapema alivyo na uchu wa madaraka
Yani inashangaza sana maandalizi yalitakiwa yafanyike vzr na kuwe na maonyesho ya vyakula vya kichaga, mavazi yaliyokuwa yanavaliwa zamani, simulizi za tamaduni za wachaga,n.k. na maandalizi hayo yangetakiwa wiki nzima wananchi wanatembelea maonyesho halafu Leo Rais angekuja kuhitimisha .Ni wazi Tamasha la Utamaduni Kilimanjro limeandaliwa na viongozi wa CCM, khanga zilizotumika hazioneshi hata chembe utamaduni wa Kilimanjaro zaidi ya kumuonesha Rais Samia!
Kwa kifupi khanga hizo zingeweza kutumika mkoa wowote nchini, pia tamasha limetawaliwa na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi, hata hivyo wanakilimanjaro hawakuwa wana-CCM walikuwa wana-Kilimanjaro bila kujali vyama ingawaje Tamasha limetumika kuwabagua baadhi wanakilimanjaro wasio wana-CCM, kampeni hii haina tija kwa taifa.
Inaelekea CCM imekuja na staili ya kuwatumia watu wanaojiita machifu ili ijipatie umaarufu, ukweli utabaki ukweli hatuna machifu Tanzania kulingana na katiba ya nchi.
Kilimanjaro kuna wamarangu, wakibosho, warombo, wapare, wamachame, wamasai.Kilimanjaro hawaishi wachaga pekee
Na waliozaliwa uchagani na wazazi wao wamejenga na Wana mashamba na sio wachagaWewe ndio mshamba, hao waliozaliwa Moshi mjini wapo na wanaitwa Waswahili.
Mtu akisema Mwanza ni ya Wasukuma wala hakosei ingawa Wakerewe pia Mwanza ndio kwao.
Hao tamasha haliwahusu, wambie waende kwenye kanda zao waandae tamasha la mila zao.Kilimanjaro hawaishi wachaga pekee
Uliwaza kama mimi[emoji1635][emoji1635]Yani inashangaza sana maandalizi yalitakiwa yafanyike vzr na kuwe na maonyesho ya vyakula vya kichaga, mavazi yaliyokuwa yanavaliwa zamani, simulizi za tamaduni za wachaga,n.k. na maandalizi hayo yangetakiwa wiki nzima wananchi wanatembelea maonyesho halafu Leo Rais angekuja kuhitimisha .
Maandalizi hayo yapo kwa baadhi ya vitu na yameoneshwa.Yani inashangaza sana maandalizi yalitakiwa yafanyike vzr na kuwe na maonyesho ya vyakula vya kichaga, mavazi yaliyokuwa yanavaliwa zamani, simulizi za tamaduni za wachaga,n.k. na maandalizi hayo yangetakiwa wiki nzima wananchi wanatembelea maonyesho halafu Leo Rais angekuja kuhitimisha .
Katika makabila 120 Kuna kabila linaitwa kyasakaWanaitwa Kyasaka