Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Unamaana wamekuwa kama wale ndege wakubwa wanaokula mizoga!CCM ni kama Nsyuka.
Wao wakipata chance hata msibani jeneza wanaweza kulipaka mirangirangi yao ya Kijani..
Tamasha limetumika kuwabagua baadhi wanakilimanjaro wasio wanaccm, kampeni hii haina tija kwa taifa. Inaelekea CCM imekuja na staili ya kuwatumia watu wanaojiita machifu ili ijipatie umaarufu, ukweli utabaki ukweli hatuna machifu Tanzania kulingana na katiba ya nchi.Ni wazi Tamasha la Utamaduni Kilimanjro limeandaliwa na viongozi wa CCM, khanga zilizotumika hazioneshi hata chembe utamaduni wa Kilimanjaro zaidi ya kumuonesha Rais Samia! Kwa kifupi khanga hizo zingeweza kutumika mkoa wowote nchini, pia tamasha limetawaliwa na wafuasi wa chama cha Mapinduzi, hata hivyo wanakilimanjaro hawakuwa wanaccm walikuwa wanakilimanjaro bila kujali vyama ingawaje Tamasha limetumika kuwabagua baadhi wanakilimanjaro wasio wanaccm, kampeni hii haina tija kwa taifa. Inaelekea CCM imekuja na staili ya kuwatumia watu wanaojiita machifu ili ijipatie umaarufu, ukweli utabaki ukweli hatuna machifu Tanzania kulingana na katiba ya nchi.
Huwa siangalii TBC Tv lakini leo nimetumia muda kuiangalia ili nione kinachoendelea na ndicho nikionacho, hasa gharama zilizotumia kutengeneza khanga ambazo hazina lolote kuhusu mkoa wa Kilimanjaro zaidi ya kuwa na picha ya Rais Samia! Sijui ameingiaje kwenye utamaduni wa wanakilimanjaro? Tujikumbushe methali isemayo mdudu kaingiaje ndani ya kokwa la embe!Tamasha limetumika kuwabagua baadhi wanakilimanjaro wasio wanaccm, kampeni hii haina tija kwa taifa. Inaelekea CCM imekuja na staili ya kuwatumia watu wanaojiita machifu ili ijipatie umaarufu, ukweli utabaki ukweli hatuna machifu Tanzania kulingana na katiba ya nchi.
Kwa hii nimepita kapa, naomba utafsiri kuwa kiswahili.Warimu kapsa
Kuwa uwanjani si hoja, ungekuwa Moshi labda.Wivu tu....Nipo uwanjani na wanakilimanjaro wamehamasika sanaa...!
Tamasha limefana mnoo
Hakuna chifu ana mamlaka juu ya mtu yoyote! Wanajisumbua tuNi wazi Tamasha la Utamaduni Kilimanjro limeandaliwa na viongozi wa CCM, khanga zilizotumika hazioneshi hata chembe utamaduni wa Kilimanjaro zaidi ya kumuonesha Rais Samia!
Kwa kifupi khanga hizo zingeweza kutumika mkoa wowote nchini, pia tamasha limetawaliwa na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi, hata hivyo wanakilimanjaro hawakuwa wana-CCM walikuwa wana-Kilimanjaro bila kujali vyama ingawaje Tamasha limetumika kuwabagua baadhi wanakilimanjaro wasio wana-CCM, kampeni hii haina tija kwa taifa.
Inaelekea CCM imekuja na staili ya kuwatumia watu wanaojiita machifu ili ijipatie umaarufu, ukweli utabaki ukweli hatuna machifu Tanzania kulingana na katiba ya nchi.
Ndani ya Post inazungumzia wanakilimanjaro na si wachaga.Kilimanjaro hawaishi wachaga pekee
Mlima Kilimanjaro upo uchagani, hilo ndio muhimu zaidi.Kilimanjaro hawaishi wachaga pekee
Mbona mnaanza kubaguana?Mlima Kilimanjaro upo uchagani, hilo ndio muhimu zaidi.
Hata hao Wapare wa Same na Mwanga wakisafiri kwenda upareni husema wanakwenda Moshi, wakati hakuna Mpare wa Moshi.
Tamasha limetumika kuwabagua baadhi wanakilimanjaro wasio wanaccm, kampeni hii haina tija kwa taifa. Inaelekea CCM imekuja na staili ya kuwatumia watu wanaojiita machifu ili ijipatie umaarufu, ukweli utabaki ukweli hatuna machifu Tanzania kulingana na katiba ya nchi.
Kubaguana na nani? Kwani mimi ni Mchaga?Mbona mnaanza kubaguana?
Hatuwezi mambo ya utamaduni, ngoma zilizochezwa mbele ya Rais ziliandaliwa na viongozi wa CCM ambao waliacha maneno halisi ya nyimbo na kuweka ya kumsifu Rais.Nimeshangaa wanapandishia nyimbo za makabila mara “mwai wetu ehohie… irrelevant kabisa!