Tamasha la Utamaduni Kilimanjaro halikuandaliwa Kichagga

Mlima Kilimanjaro upo uchagani, hilo ndio muhimu zaidi.

Hata hao Wapare wa Same na Mwanga wakisafiri kwenda upareni husema wanakwenda Moshi, wakati hakuna Mpare wa Moshi.
Na hapa hatuongelei moshi, tunaongelea kilimanjaro, mlima unaonekana tokea Same.
 
Kama wachaga wanavyobagua wapare
 
Huyu chief hangaya hajiamini kwa sababu ya kupwaya hivyo ameamua kuanza kampeni ya 2025 mapema alivyo na uchu wa madaraka
 
Mlima Kilimanjaro upo uchagani, hilo ndio muhimu zaidi.

Hata hao Wapare wa Same na Mwanga wakisafiri kwenda upareni husema wanakwenda Moshi, wakati hakuna Mpare wa Moshi.
Wapare wa Moshi wapo acha ushamba ndugu na ujinga, na walikua na maeneo ukija eneo la Moshi vijijini maeneo ya tambarare Kuna wapare na wamasai wachaga wako milimani, Moshi mjini Kuna watu wamezaliwa pale na sio wachaga Leo hii huwezi waambia sio kwao, Ila kitu nachofahamu hakuna watu wabaguzi na wabinafsi kama wachaga

Ili swala la wapare kusema wanaenda Moshi nawakati wanaenda upareni walioharibu ni watu wa magari hata ukiwa unashukia Mwanga wanakuandikia kwenye tiketi Moshi au Arusha ndo maana wapare wakasema wanaenda moshi
 
Hivyo kichagga ndio kinauza kuliko kipare😂😂
Kwa taarifa yako wapare wanalugha moja huku wachaga wanalugha nyingi zaidi ya moja japo tunaita kichaga. Rombo na Hai ni mbali sana na lugha zinatofautiana ila wote ni wachaga.
 
Kwa taarifa yako wapare wanalugha moja huku wachaga wanalugha nyingi zaidi ya moja japo tunaita kichaga. Rombo na Hai ni mbali sana na lugha zinatofautiana ila wote ni wachaga.
Wagweno ni wachaga?
 
Biased
 
Hivi mleta mada, hivi Wapare sio Wana Kilimanjaro?! Kuficha ubaguzi sio ngumu kivile sijui nyinyi mnakwama wapi.
 
Ndio maana limedoda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…