Tamasha la Utamaduni Kilimanjaro halikuandaliwa Kichagga

Na ndio maana watalii wanaenda kuangalia kupitià huko keñya na wanajițangaza duniani pote na hakuna wa kuwazuia
Ni vigumu sana kupanda kupitia Kenya, jinsi mlima ulivyo mwinuko na makorongo utahitaji uwezo mkubwa kuupanda, kabla jumuia ya Afrika Mashariki kufa upande wa Kenya kulikuwa na chuo cha ukakamavu cha jumuia.
 
Wewe ndio mshamba, hao waliozaliwa Moshi mjini wapo na wanaitwa Waswahili.

Mtu akisema Mwanza ni ya Wasukuma wala hakosei ingawa Wakerewe pia Mwanza ndio kwao.
 
Wewe ndio mshamba, hao waliozaliwa Moshi mjini wapo na wanaitwa Waswahili.

Mtu akisema Mwanza ni ya Wasukuma wala hakosei ingawa Wakerewe pia Mwanza ndio kwao.
Na waliozaliwa uchagani na wazazi wao wamejenga na Wana mashamba na sio wachaga wanaitwaje

katika makabila 120 ya Tanzania hakuna kabila la waswahili ndo nimesikia kwako
 
Huyu chief hangaya hajiamini kwa sababu ya kupwaya hivyo ameamua kuanza kampeni ya 2025 mapema alivyo na uchu wa madaraka
CCM haijawahi kujiamini ndiyo sababu wako ubavuni mwa polisi.
 
Yani inashangaza sana maandalizi yalitakiwa yafanyike vzr na kuwe na maonyesho ya vyakula vya kichaga, mavazi yaliyokuwa yanavaliwa zamani, simulizi za tamaduni za wachaga,n.k. na maandalizi hayo yangetakiwa wiki nzima wananchi wanatembelea maonyesho halafu Leo Rais angekuja kuhitimisha .
 
Wewe ndio mshamba, hao waliozaliwa Moshi mjini wapo na wanaitwa Waswahili.

Mtu akisema Mwanza ni ya Wasukuma wala hakosei ingawa Wakerewe pia Mwanza ndio kwao.
Na waliozaliwa uchagani na wazazi wao wamejenga na Wana mashamba na sio wachaga

katika makabila 120 ya Tanzania hakuna kabila la waswahili ndo nimesikia kwako
 
Yani mnaposemaga wachagga wabaguzi ni kisa tu wanapendana na kusaidiana wao kwa wao nawashangaa sana, huo ndo ujanja hata Mungu aliumba makabila na mataifa mengi ila akawapendelea waisrael bila kificho na alitaka wasichanganyike sana na mataifa au kabila zingine. kuna siri kati ya wachagga haiwezekeni muwe mnawawaza sana na nimekuja kugunduwa wachagga wapo sahihi sana.
 
Tunakokwenda Serikali,itaombwa ruzuku au bajeti ya kusaidia kuendesha Tawala za kichifu kwenye makabila mbalimbali nchini.Machifu walikuwa na mifumo yao ya kiutawala na vyanzo vya mapato ambavyo vimechukuliwa na Serikali.
 
Uliwaza kama mimi[emoji1635][emoji1635]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Maandalizi hayo yapo kwa baadhi ya vitu na yameoneshwa.
 
Akili mbovu kabisa za Chirwa mleta mada ambae sio mchaga. Haikua Kwa sababu ya wachaga tu kuna wapare masai waarusha Na wengine. Tumia kichwa kufikiri Wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…