Tamasha la WCB Mtwara ladhihirisha Uchumi unazidi kuimarika! Watanzania wana pesa mifukoni

Kuna mtu ana kesi mahakamani anadai nanukuu "ukimuona mwanaCCM ujue mshipa wake wa akili umengana na mshipa wa mavi" mwisho wa kunukuu.
haya mashitaka yamenichekesha sana !
 
Kweli jicho la mende haliweza kuona kilometer 2 kutoka alipo!
 
Ili ufuzu kuwa mwanaCCM sharti ubenduliwe libichwa lako ubongo utolewe wote ubakishiwe kiasi kidogo sana kwa ajili ya kuvukia Barabara na "Kunya" tu....Mleta Mada Umefuzu hapa..Ovaaa!!!
 
Nakuunga mkono...
Na mvua zimechelewa sana mwaka huu sababu ya CHADEMA. Hawa jamaa ni sumu kwa nchi yetu. Wamejaa uongo na ulaghai. Sijui kwa nn wanaifitinisha serikali yetu na Mungu.
 
Tamasha na chadema wapi na wapi? Isee
 
Ubaya wako ni kuwa hukuona ndani ya darasa, pole sana, kaa ungeenda shule angalau hungeandika mambo ambao hata mtoto wa miaka 3 tu anayaona ya kipumbavu kabisa, enda shule hata kaa ni ya watu wazima angalau utaerefuka na kuwa na ujuzi wa kutumia akili
 

Sijui hizo takwimu umezitoa wapi mtu ambae alijaza ule uwanja mpaka watu wakashindwa kuingia ni Mr Nice
 
"Mshipa wa akili wa wana Ccm umeunganika na mshipa wa nnya" - Mbunge wa CUF kusini
 
wanashusha stress tu
 
Chadema ni waongo sana,uchumi wa Tanzania ni mkubwa na majuzi tu Tanzania imeisaidia Sweden $34 Bil ,na Kenya tumewapa sh Bil 300 za madawa,karibia kila mtanzania ana gari,nyumba safi na wasio na ajira wanapewa posho kila mwezi.
CCM HOYEEEEEEEEEEE..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…