Ofcoz, ni evidence mojawapo. Mtwara toka imezaliwa haijawahi tokea ile, is that not improvement ya maisha ya watu.Mkuu, embu jaribu kutumia akili yako japo pengine hauna au ipo kidogo, hivi kweli watu kujaa fiesta ni indicator ya kupima kuimarika kwa uchumi au ubora wa maisha wa watu?
Mkuu mbona unauliza maswali magum Sana, ivi unategemea mtu aliyetoa post Kama hii akakupa jibu kwel? Hawez kukupa hataMkuu Je hao walijaa kwenye hivo viwanja ni % ngapi ya watanzania wote ?
Umeona mizee ya mcharuko tu walahiutaambulia matusi tu CHADEMA hawana hoja tena
Ivi hapo Kuna hoja gan Sasa, mbona hakuna hoja yeyote zaidi ya upuuzi, ivi Tanzania in watu wangap? Hapo kwenye hivyo viwanja wameenda watu wanagap, na kiingilio kilikua Bei gani? Hebu tuanzie hapoPangua hoja
Mkuu hebu muanike Hapa tumjue ni Nani maana wajinga Kama vizur kuwaanika ili wajulikaneHuyu mwehu tumemvua nguo fb, kumbe na huku yupo na anatumia I'd hii.
Fb watu siku hizi naona wamekua sana kuliko jf.
Jf kuna wastaarabu sana huku.
Kule kalala mutini
Ila timu ya taifa ingeshinda Kuna mtu angepewa sifa Sana kama vile na yeye alikua anacheza pale uwanjan, tumefungwa kimyaaaaTamasha mtu anasimama zaidi ya masaa 4 na hana hata kinywaji achilia mbali msosi. Kujazana huko ndio dalili ya umaskini na ni kweli haijapata kutokea watu kuwa maskini namna hii.
Nyie hata mafao ya 25% mnasema mnatetea wanyonge, mmeidandia timu ya taifa kutafuta kick sasa inapumulia mashine ila wakati wenu huu endeleeni kuonyesha upumbavu wenu.
Mbona usipojaa mnasema ni kigezo cha watu kukosa hela na uchumi kubana?Uwanja kujaa inapogeuka kuwa kipimo cha uchumi kukua - maajabu mengine.
Kuna siku tukila sahani imejaa msosi aka "mlima" basi tutaambiwa uchumi unapaa tunakula tunashiba.
Kwa hiyo mmewalenga sababu mnajua wamepokea hela ya korosho eti? Mbona hamkwenda kufanya fiesta yenu mwezi Julai?Jana kule Mtwara kumefanyika tamasha la wasafi ambalo limeacha historia kwa kufurika watu kwa kiasi ambacho haijapata kutokea watu kujaa namna ile kwenye uwanja wa Nangwanda.
Pia kule wilaya ya Kahama msanii Ali Kiba naye amefanya tamasha ambalo limeacha gumzo kwa kujaa watu.
Kitendo cha watu kujaa kwenye matamasha haya kimeenda kinyume kabisa na CHADEMA ambao wamekuwa wakieneza propaganda kuwa uchumi umeshuka na watu hawana pesa mfukoni.!!
Chadema ,hasa Tundu Lisu wamefikia hatua ya kuichafua nchi kimataifa kuwa eti Tanzania kwa sasa hali ni mbaya kiasi kwamba watu wanashindia mlo mmoja.!
Sasa tuwaulize nyie chadema ,hivi mtu ambaye anashindia mlo mmoja atatoa wapi hela ya kulipia tamasha na kushangilia mwanzo mwisho kama tulivyoona kule Mtwara na Kahama?
Ifike mahali mkubali tu kuwa kasi ya rais Magufuli ni kubwa kuliko uwezo wenu wa kufikiri.
Kweli kabisa. Mara waseme wafanyabiashara wasinunune mara wanaita tena waje wanunue!! HIzi Kauli mbili mbili zinaligharimu taifa!!Ujinga na ubwege umewajaa nyumbu wanaoamini watu wenye kauli mbili, leo wanasema hivi kesho vile. Lakini bado nyumbu zinaamini. Hao ndio ujihoji wamelishwa nini
Sijui CCM hutumia mbinu gani kupandikiza ujinga na ubwege kwenye vichwa vya watanzania wenzetu!!
Aisee! Mna donge namna hiyo. Tupeni mda ili tuwaonyeshe jinsi mambo ya kuleta maenendeleo yanavyotakiwa kufanyika.Your wrong in the right track
Ndiyo CHADEMA na Tundu Lissu, Zitto Kabwe na wengineo wote wametuchafua sana nje. Hawa watu walitakiwa wasionekane tena katika hii nchi. Sio watu wazuri kwa nchi yetu.Mkuu, embu jaribu kutumia akili yako japo pengine hauna au ipo kidogo, hivi kweli watu kujaa fiesta ni indicator ya kupima kuimarika kwa uchumi au ubora wa maisha wa watu?