Tambiko la Wanyaturu kwa gari la Lissu, wahusika bora wajitokeze

Hivi yule wa Bagamoyo si alifariki baada ya kumaliza ? Na hadi leo tuko gizani!!!!!
 
Tambiko za kimila ni hatari sana sanaa, nishaona mambo kadhaa na matokeo yake yanatisha, ogopa sana matambiko ya kimila, yanafanya kazi kabisa..!! Sio rahisi watu kuamini haya hasa watu waliokulia au kuishi mijini tu, ila tambiko za kimila ni hatari sana.
 
Kweli lile tukio ni la kinyama ila kama haki imeshindikana kupatikana kupitia vyombo vya dola tunyooshe mikono basi, haya mambo mengine sio.

Tambiko? Excuse me!
Asilimia kubwa ni washirikina ndio maana wanawaza hayo
 
Na kitaumana kweli mila bado zipo ndugu zangu
 
M
Mambo ya matambiko ni uboya na utumwa wa kifala sana.
Mtu mweusi alishafeli muda mrefu. Yes si msomi na wakilimkubwa kwa nini asipambane kwenye vyombo vya sheria..?
 
CCM ni wazuri sn upande wa ushirikina
Hili jambo naona bado halieleweki. Tambiko sio ushirikina hata kidogo maana huwa linafanywa kwa maombi ya Mila zenu na uwazi mtupu.
Mbona maombi mengine yanafanywa makanisani na misikitini? Au hayo ni kwa vile ni ya wazungu?
 
Mkwara 🐼

Kuna yule shehe wa mkoa aliwatishaga akina Mwaka na bint Kimambi lakini wanadunda tu πŸ˜‚πŸ˜‚

Yule sheick alikuwa muhuni, aisee kuna watu wasio wahuni ukicheza nao ni mbaya sana.
 
M

Mtu mweusi alishafeli muda mrefu. Yes si msomi na wakilimkubwa kwa nini asipambane kwenye vyombo vya sheria..?
Mila hata wenzetu kwa walioendelea wanatumia , mali za mjerumani huwa hazichukuliwi hovyo ila watoto na wajukuu zao waliozizindika wakifika site huzichukua kilain sana , so haya mambo sio ya mweusi tu
 
Pro jay anakwambia uchawi hauendi kwa mentali
Lakin pia kwa akili na imani zako umazan walofanya tukio ni watu wadogo kuyumbishwa na uchawi
 
M

Mtu mweusi alishafeli muda mrefu. Yes si msomi na wakilimkubwa kwa nini asipambane kwenye vyombo vya sheria..?
Tambiko hajafanya yeye, ungetumia akili kidogo na kuweka chuki zako pembeni.
Waliofanya tambiko ni wazee wa kabila lake kumuomba Mungu wao atende haki ukizingatia DAMU ILIMWAGIKA PENYE TUKIO HILO.
Ukiwa bora huwezi elewa huku ukidhani unaelewa
 
Pro jay anakwambia uchawi hauendi kwa mentali
Lakin pia kwa akili na imani zako umazan walofanya tukio ni watu wadogo kuyumbishwa na uchawi
Mwehu we nani kataja uchawi? Use your brain
 
Kweli lile tukio ni la kinyama ila kama haki imeshindikana kupatikana kupitia vyombo vya dola tunyooshe mikono basi, haya mambo mengine sio.

Tambiko? Excuse me!
Ulozi ni Dawa ya watu wabishi, una mumeo kila siku unamwambia Baba D usichepuke siku nikigundua nitakufanya kitu mbaya anakua Mbishi unaenda kwa Mtaalamu akuangalizie anakuonyesha kwamba Baba D mtaa wa Pili hapo ana kimada na anakikamua Mwaka wa Pili huu wewe haujui anakupa Dawa uende anakwambia akienda hii Mara ya Mwisho lazima anase kweli unaenda kesho yake unapigiwa Simu toka mtaa wa Pili ukamuone Baba D kagandana na Fatuma Mitako, ulozi una faida kwa watu wabishi
 
Tambiko hajafanya yeye, ungetumia akili kidogo na kuweka chuki zako pembeni.
Waliofanya tambiko ni wazee wa kabila lake kumuomba Mungu wao atende haki ukizingatia DAMU ILIMWAGIKA PENYE TUKIO HILO.
Ukiwa bora huwezi elewa huku ukidhani unaelewa
Aisee kuna jambo nimeelewa , kweli wazee wana akili na wapo na jambo lao ni kweli dam za Lissu zilimwagika mle ,lazima kiumane mda mwalim
 
Kwamba wataloga,hamna huo ujinga siku hizi acheni upumbavu.
Mbona walishindwa kuloga asipigwe hizo risasi.
Ujinga mtupu
 
wameamua kujiingiza mazima kwenye masuala ya uchawi na ushirikina, baada ya maombi, ibada na misa nyingi sana za shukrani?πŸ’

kwamba wameona zawadi ya uhai alizowajalia Mungu hazitoshi, right?πŸ’
 
Mambo ya matambiko ni uboya na utumwa wa kifala sana.
haya mambo yapo boss wangu kama huamini kisasi ktk nguvu za asili yanafanya kazi tena wanapukutika kbs... Sema kwa sasa matapeli ni wengi ila ukimkuta mkali wa hizi kazi mchezo anaucheza na matokeo chanya yanapatikana chapu tu... Sema hawa nao wafanya matukio kama hayo wanakuwa wamejithatiti kiaina kwahiyo nao hawapo kiuwepesi wepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…