Tambiko la Wanyaturu kwa gari la Lissu, wahusika bora wajitokeze

""Kwani si baada ya mila, mkungu wa ndizi unaninginizwa juu, basi kila ndizi inavyoanguka........ Ndivyo roho zinavyochomoka!
 
No.moja kalala chato
 
Narudia,

Nchi hii watu wanatakiwa kupoteza ni Waganga wapiga ramli.
 
Kwamba wataloga,hamna huo ujinga siku hizi acheni upumbavu.
Mbona walishindwa kuloga asipigwe hizo risasi.
Ujinga mtupu
Mpuuzi wewe! Nani kazungumzia mambo yako ya kulogana?
 
wameamua kujiingiza mazima kwenye masuala ya uchawi na ushirikina, baada ya maombi, ibada na misa nyingi sana za shukrani?πŸ’

kwamba wameona zawadi ya uhai alizowajalia Mungu hazitoshi, right?πŸ’
Huwezi elewa wewe maana akili yako umeichimbia chini. Tambiko za asili zipo hata kabla ya dini za wazungu na waarabu ziingie. Na tambiko za asili sio uchawi wala ulozi
 
Hili jambo naona bado halieleweki. Tambiko sio ushirikina hata kidogo maana huwa linafanywa kwa maombi ya Mila zenu na uwazi mtupu.
Mbona maombi mengine yanafanywa makanisani na misikitini? Au hayo ni kwa vile ni ya wazungu?
Lipo kisheria au kisera?
 
CCM ni washirikina wazuri sn
 
Yule alitewatuma tayari yuko motoni,nq aliyesimamia lile shambulio sasa hili makalio yake yameumuka kama mwanamama vile.
Na bado, wapo wale waliochomoa CCTV pale nyumbani, walio ondoa walinzi gemini na waliokataa taarifa ya tume ya bunge kuweka hadharani hawaponi maana laana lazima iwaangukie.
Kinara kaondoka ndio tena akiwa kijana kabisa (62yrs)maana kwa cheo chake umri huo ni mdogo pengine kuzuia asije fanyia na wengine.
 
Kondakta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…