Tambiko la Wanyaturu kwa gari la Lissu, wahusika bora wajitokeze

Mkwara 🐼

Kuna yule shehe wa mkoa aliwatishaga akina Mwaka na bint Kimambi lakini wanadunda tu πŸ˜‚πŸ˜‚
We jitekenye tu..unalinganisha Wazee wa Kinyqturu na Tapeli! Subiri utaona ,isitoshe Zaburi 35 tu ilishawaondoa Wawili! Wengine wanafuata! ..Watesi wa Tundu Lisu wataangamia!
 
Makondq si ni mkuu wa arusha?
Huoni anavyo hangaika kiroho?
Mara leo amuite Kadnali Pengo ofisini kumuombea kesho Mwamposa, sijui shehe nani naye aje unadhani ni kwa furaha au hilo ni hangaiko la kiroho?
Mkuu, kama alihusika atapata taabu sana maana amani ndani mwale itakosekana kabisa.
Na hatujui anapoombewa huwa anatubu nini huko wakiwa wenyewe.
 
Ni kweli kabisa tambiko litaanza kuwapukutisha πŸ‘πŸ˜±

Lakini wakijitokeza na kuomba msamaha huenda wakasamehewa πŸ‘πŸ˜±
Mimi naunga mkono na nitalifungia siku kadri Mungu wangu atakavyo amua acha wafe tu ,unyama gani huu wamtendea binadamu mwezako , watakufa kama kumbikumbi asema bwana
 
Sasa wakali wa njozi wameanza kufikiria DUA za wazee wa Kinyaturu baada ya kuona matundu ya risasi kwenye jaribio la mauaji yale na maumivu aliyopata mtoto wao zinaanza kushinda nguvu za ulinzi wa maombi ya Kadnali, Mwamposa na shehe. Usikute sio poison bali ni maluelue ya tambiko! Time will tell
 
 
Kama kuna anayemfahamu yeyote aliyehusika mwambieni muda unaisha, ajitokeze apige goti na kukiri kwa ulimi wake haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…