Kama vipi mchango sitoi na kwenye harusi siji. Harusi ibaki kuwa ni ya familia tu, sie wengine tuendelee na mishe zetu kama hakuna ulazima na umuhimu wa kwenda